Naomba kujuzwa Engine oil nzuri kwa Toyota Vitz New Model 990cc

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Apr 12, 2018
2,515
4,232
Wakuu

Naomba msaada.Hii gari sijawahi kubadili Oil tangu ninunue hivyo imefika wakati nataka kuweka Engine Oil.Naomba ushauri wa Engine bora kabisa na genuine kwa gari hii.

Ahsanteni
 
Tumia Total Quartz 9000 nfc (5W-30) lita 4. Mimi nimetumia mara mbili kwenye gari yangu kama hio ya kwako. Ipo vizuri sana. Bei ni around elfu 65. Usisahau kubadilisha filter pia kama imechoka. Ni around elfu 15. Cheers.
 
Ingekuwa ni Toyota Vits old model, ningekuambia utumie oil yoyote ile! Maana nilikamiliki hako kagari huko kijijini miaka hiyo, ilikuwa ukienda kumwaga oil kwa wale mafundi wetu, basi oil itakayo kuwepo siku hiyo, ndiyo hiyo hiyo inawekwa! Na kagari kanadunda tu.

Muhimu tu iwe ni ya gari za petrol.
 
Hivyo vigari acha tu,hata spea ukiiokota jalalani ukiifunga tu imooooooooooooooooooooo
 
Kama ni model ya kuanzia 2006 tumia 10w 30, 10w 40, 15w 30, 15w 40

Ukikosa unaweza tumia 20w -30, 40,
 
Ingekuwa ni Toyota Vits old model, ningekuambia utumie oil yoyote ile! Maana nilikamiliki hako kagari huko kijijini miaka hiyo, ilikuwa ukienda kumwaga oil kwa wale mafundi wetu, basi oil itakayo kuwepo siku hiyo, ndiyo hiyo hiyo inawekwa! Na kagari kanadunda tu.

Muhimu tu iwe ni ya gari za petrol.
Kagari hakabagui hakachagui sababu hakajui oil gani itakazika.....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ingekuwa ni Toyota Vits old model, ningekuambia utumie oil yoyote ile! Maana nilikamiliki hako kagari huko kijijini miaka hiyo, ilikuwa ukienda kumwaga oil kwa wale mafundi wetu, basi oil itakayo kuwepo siku hiyo, ndiyo hiyo hiyo inawekwa! Na kagari kanadunda tu.

Muhimu tu iwe ni ya gari za petrol.
Kwaiy mkuu unataka kusema vitz old model ,,ina Roho Ngumu sana? Pia inahimiri barabara zote??
 
Halafu ina stability ya hali ya juu sana kwenye barabara zote; za vumbi na pia za lami.

Mara kadhaa nimesafiri na hiyo gari kilometa zaidi ya 500 nikiwa peke yangu! Ilikuwa ni kawaida sana kutembelea mwendo wa 100-140 KPH. Haiyumbi aisee! Ilikuwa na tairi size 13! Na mafuta inanusa tu!
 
  • Kicheko
Reactions: amu
Tumia Total Quartz 9000 nfc (5W-30) lita 4. Mimi nimetumia mara mbili kwenye gari yangu kama hio ya kwako. Ipo vizuri sana. Bei ni around elfu 65. Usisahau kubadilisha filter pia kama imechoka. Ni around elfu 15. Cheers.
Aisee hii nzuri gari inakuwa laini. Nimeweka jumamosi ipo vizuri.
 
Halafu ina stability ya hali ya juu sana kwenye barabara zote; za vumbi na pia za lami.

Mara kadhaa nimesafiri na hiyo gari kilometa zaidi ya 500 nikiwa peke yangu! Ilikuwa ni kawaida sana kutembelea mwendo wa 100-140 KPH. Haiyumbi aisee! Ilikuwa na tairi size 13! Na mafuta inanusa tu!
Daah nami ndo nipo kwenye kutafuta iyo Gari ،,,nataka inisaidie kwenye mizunguko yangu
 
Back
Top Bottom