Naomba kujua sababu kuhusu line yangu hii ya simu kufanya kazi bila bando

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,239
22,674
Habari wakuu,

Mwaka juzi nilikuwa nina line ya tigo.

Cha kushangaza ilikuwa inanifanya naperuzi kwa browser ya UC mini na opera bure kabisa pasipo mb.

Yaani nilikuwa nagoogle kisha nadownload audio songs bure tu kabisa. Lakini video zilikuwa zinagoma only audio..!

Sababu hasa zilikuwa ni nini mpka line kufanya kazi pasipo mb?

Kwa bahati mbaya line niliipoteza

Shukrani.
 
SIO ZILE ZA PROMOTION KWELI?
Habari wakuu
Mwaka juzi nilikuwa nina line ya tigo
Cha kushangaza ilikuwa inanifanya naperuzi kwa browser ya UC mini na opera bure kabisa pasipo mb.
Yaani nilikuwa nagoogle kisha nadownload audio songs bure tu kabisa. Lakini video zilikuwa zinagoma only audio..!

Sababu hasa zilikuwa ni nini mpka line kufanya kazi pasipo mb?

Kwa bahati mbaya line niliipoteza

Shukrani.
 
Hiyo ilikuwa inatokea sana kipindi kile kabla hayajaanza haya mambo ya kujiunga mabando,nishatumia sana internet bure na ni laini za tigo.
 
2013 kipindi smartphone sio nyingi sana kipindi unajiunga unapewa na dk,sms,mb ..wale wa vitochi wanalalamika mb zinapotea bure , kipindi sms ni dili sana ..niliwahi kuwa na laini ya tigo kila napotuma sms zinaenda tu bure hadi nikawa nakodisha laini mtu atumie sms anazotaka ( chuo hapo) ..nilitumia kama miezi sita hadi kuna mtu nilimkuta anaiweka vocha kimakosa nikamnyang'anya ofa isje tolewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom