sawa mkuu,hyo inahusiana na nini?na vp kuhusu ajira?
Naomba kuuliza wakuu. Diploma hizi ili mwanafunzi achaguliwe anatakiwa apate matokeo yapi ya form four?
Mkuu naomba more info kuhusu hii courseKwa sahizi uwe na B nakuendelea katika masomo matano englsh,phy,chem,bios,math hvyoook kama hyo radiology physics uwe umefaulu gud
unamdanganya mm yalinitokea hayo hayo unayoyasema wewe nikajila miaka miwili advance nkaambulia kupata kozi nisizo zipenda..nkabaki najuta ngejua ngeenda diploma moja kwa mojaAl-Akhy Unger,
Mdogo wangu unapotea...kama uko njema kichwani rudi shule uanze tena PCB...shule Za serikali watakupokea tu...hiyo ndio njia rahisi kupita Zote kama Unataka kuwa daktari...kama una masikio sikia
Nipe hints unataka ujue nini mkuuMkuu naomba more info kuhusu hii course
thanks in advance
Mbona mie na wengine wengi tumeenda advance na kwenda MD moja kwa moja ? Kwa nini asiwe yeye ? Jiamini dogo....ukiwa na roho ya kufeli wewe ni wa kufeli tu hata uende wapi. Ukianza CO utasugua sana benchi unaweza kusihia CO maisha yote....ila kwa sababu madogo masikio mmeziba haya fanyeni yenu sisi tumeyaishi hayo mnayotaka kuyajaribu.....Goodluck
Asante kwa maelezoNipe hints unataka ujue nini mkuu
Kwa kifupi katika hio course ya radiology unasoma about imaging modalites zifuatazo
1)Plain x-ray
2)ultrasound
3)CT Scann
4)MRI
5)Fluoroscopy
6)Mamography
Inatolewa Muhimbili na Bugando tuu! Hapa Tz hamna degree ake labda RTT (Radiation therapy)
Ukimaliza kusoma miaka 3 unaajiliwa direct
Mkuu sio serikalini tu hata private mfano unaweza kuwa unasoma na unakijiwe unacho piga kazi na unalipwa vizuri kabisa bii ni kutokana na uhaba wa watu! Wengi serikalini huwa hawareport wanaishia kwenda private kwenye pesa watu wanalipwa hadi 1.2M per month......kifupi ajira zipo nje nje huko migodini na kwinginekoAsante kwa maelezo
Carrier opportunities zake zipoje?ni serekalini tu?
Ningependa kufahamu pia
Accommodation pale MUHAS ipoje,na any info unayoona ya muhimu
Mkuu medical lab ipojeMkuu sio serikalini tu hata private mfano unaweza kuwa unasoma na unakijiwe unacho piga kazi na unalipwa vizuri kabisa bii ni kutokana na uhaba wa watu! Wengi serikalini huwa hawareport wanaishia kwenda private kwenye pesa watu wanalipwa hadi 1.2M per month......kifupi ajira zipo nje nje huko migodini na kwingineko
Kuhusu accomodation hapa Muhas inategemea hapa unasoma kama nani kama ni gvt sponsored utakaa chuon i mean kwenye hostel za chuo kama ni prvate utajitegemea but unaweza kuwa prvate na ukakaa kwenye hostel za chuo pia!
Qualification zake zipoje kwa diploma mh lete mambo mkuuMkuu sio serikalini tu hata private mfano unaweza kuwa unasoma na unakijiwe unacho piga kazi na unalipwa vizuri kabisa bii ni kutokana na uhaba wa watu! Wengi serikalini huwa hawareport wanaishia kwenda private kwenye pesa watu wanalipwa hadi 1.2M per month......kifupi ajira zipo nje nje huko migodini na kwingineko
Kuhusu accomodation hapa Muhas inategemea hapa unasoma kama nani kama ni gvt sponsored utakaa chuon i mean kwenye hostel za chuo kama ni prvate utajitegemea but unaweza kuwa prvate na ukakaa kwenye hostel za chuo pia!
Nikitumia cheti cha form four tu imekaaje apo?Mkuu sio serikalini tu hata private mfano unaweza kuwa unasoma na unakijiwe unacho piga kazi na unalipwa vizuri kabisa bii ni kutokana na uhaba wa watu! Wengi serikalini huwa hawareport wanaishia kwenda private kwenye pesa watu wanalipwa hadi 1.2M per month......kifupi ajira zipo nje nje huko migodini na kwingineko
Kuhusu accomodation hapa Muhas inategemea hapa unasoma kama nani kama ni gvt sponsored utakaa chuon i mean kwenye hostel za chuo kama ni prvate utajitegemea but unaweza kuwa prvate na ukakaa kwenye hostel za chuo pia!
Yaah vyote vinawezekana kikubwa uwe umefauru vizuri tuu haina shida na na ili uwe gvrt sponsored inategemea na wewe utakavyo ombaNikitumia cheti cha form four tu imekaaje apo?
Kuna diploma walio government sponsored?
Kivipi mkuuMkuu medical lab ipoje
Samahani,Hapo umeniacha njiapanda uombaji wa gvt sponsored na wa pvt sponsored unatofautianaje?Yaah vyote vinawezekana kikubwa uwe umefauru vizuri tuu haina shida na na ili uwe gvrt sponsored inategemea na wewe utakavyo omba
Qualification zakeKivipi mkuu
Chuo huwa kinatoa Application Form Mbili tofauti.....kuna Regular program hawa ada yao huwa ndogo na hupewa chumba katika hostel za chuo na kipindi chakula kinatolewa wlikuwa wanapewa! Pia katika hao hao regular kuna private pia lakini ada ni kubwa kidogo kuliko wale pure gvrt sponsored lakini naye anapewa chumba,na kipindi chakula kinatolewa wakuwa wanapewa na viping vyao ni sa 2 hadi sa 7Samahani,Hapo umeniacha njiapanda uombaji wa gvt sponsored na wa pvt sponsored unatofautianaje?