Naomba kufahamu kuhusu Diploma ya Clinical Officer, MUHAS

Aldonae

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
598
393
Habari wakuu.

Nimemalza kdato cha 4, 2013, na nimescore div one ya 12 {A ya bios na math, zlozobak B+ kasoro civic ndo B}ila kutokana na matatzo ya kiafya nilisoma kwa miez miwili 2,mpaka juz kat hapo nilipopata nafuu.

So nataka kuaply muhas diploma. Kuna m2 kaniambia kwa matokeo yangu, diploma n miaka miwili. Je ni kweli ? vile vile anayefahamu ada naomba anijulishe.
 
Mh! Sina uhakika kama MUHAS wanayo dip cilinical officer labda wameanza miaka Ya karibu 2011-12 haikuwepo.
 
Andika barua kwa katibu mkuu wizara ya afya ukiomba hiyo coz, hao wanaokuambia kibaha, lindi, kilosa n,k

Wanakudanganya.
 
andika barua kwa katibu mkuu wizara ya afya ukiomba hiyo coz,hao wanaokuambia kibaha,lindi,kilosa n,k wanakudanganya

Kama hujui u better keep quite,hivyo ndo vyuo vya serijali vinavyotoa CO....sasa kama kuna vingine ndo umwambie na wewe na muda wa kuapply ni may
 
Niliona tangazo la nacte wanasema hawatapokea maombi yoyote physically so lazima upitie nacte, pia muhas hawana co but wana diploma ya nursng. Vyuo vyenye co ni kilosa cotc, lugalo militaly school of medicne, mafinga, lindi.
 
Al-Akhy Unger,

Mdogo wangu unapotea...kama uko njema kichwani rudi shule uanze tena PCB...shule Za serikali watakupokea tu...hiyo ndio njia rahisi kupita Zote kama Unataka kuwa daktari...kama una masikio sikia
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hakuna diploma yoyote ya afya kwa miaka 2, na CO pia haipo Muhas. Ila waweza kusoma environmental,pharmacy,nursing,dental, radiology au lab.tech kwa miaka 3
 
MUHAS hakuna ila kilosa, Mafinga, Mtwara, Kibaha hivi ni vya serikali kama Unataka kuomba Muda bado huwa wanaptia NACTE.
 
Al-Akhy Unger,

Kama unataka diploma the best iz diagnostic radiography...lakin kama ni CO nakushauri nenda,advance na hio dip ya CO muhas haipo.
 
Last edited by a moderator:
Al-Akhy Unger,

Kama unataka diploma the best iz diagnostic radiography...lakin kama ni CO nakushauri nenda,advance na hio dip ya CO muhas haipo.

sawa mkuu,hyo inahusiana na nini?na vp kuhusu ajira?
 
Last edited by a moderator:
Al-Akhy Unger,

Mdogo wangu unapotea...kama uko njema kichwani rudi shule uanze tena PCB...shule Za serikali watakupokea tu...hiyo ndio njia rahisi kupita Zote kama Unataka kuwa daktari...kama una masikio sikia

utaenda advance at lastly utatafut tena CO nenda chuo tu
 
Last edited by a moderator:
utaenda advance at lastly utatafut tena CO nenda chuo tu

Mbona mie na wengine wengi tumeenda advance na kwenda MD moja kwa moja ? Kwa nini asiwe yeye ? Jiamini dogo....ukiwa na roho ya kufeli wewe ni wa kufeli tu hata uende wapi. Ukianza CO utasugua sana benchi unaweza kusihia CO maisha yote....ila kwa sababu madogo masikio mmeziba haya fanyeni yenu sisi tumeyaishi hayo mnayotaka kuyajaribu.....Goodluck
 
ackudanganye huyu we njoo 2xome diploma kama wenzio 2livofanya na hatujutii uko advance wenzangu wanalalamika kwel
 
Back
Top Bottom