Naomba kufahamishwa Kuhusu City College of Health and Allied Sciences

Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
489
162
Naomba kuambiwa chuo hicho kipo sehemu gani na kama ikiwezekana naomba contact nimejaribu kwny internet sijapata.. pia mwenye kujua mazingira yake yapoje anijuze tafadhali,mazngira yake ya kujifunza na kujifunzia.. nimepata nafasi hapo ya diploma ya pharmacy(ordinary diploma in pharmaceotical)
 
Hicho chuo kipo temeke sehemu moja inatwa bandari hiki chuo zamani ilikuwa pride sasa ni chuo ila kwa mazingira ya kusomea sijui
 
vyuo vingi dar ni vya uchpchoroni. hukawii kulipa ada miaka miwili aafu ndio unaambiwa hakijasajiliwa.
 
Kinatambulika na NACTE na TCU?

kitambulike na tcu kwani kinatoa shahada?
Vyuo bora vya afya kwa ngazi ya diploma na certificate ni
Kibaha,mtwara,sengerema,lugalo,mvumi,machame
Hivyo ndivyo vyuo vikubwa na bora na vikongwe lakini hivi vingine vilivyoanzishwa sasa hivi vingi ni vya uchochoroni !
 
Naomba kuambiwa chuo hicho kipo sehemu gani na kama ikiwezekana naomba contact nimejaribu kwny internet sijapata.. pia mwenye kujua mazingira yake yapoje anijuze tafadhali,mazngira yake ya kujifunza na kujifunzia.. nimepata nafasi hapo ya diploma ya pharmacy(ordinary diploma in pharmaceotical)

hicho kipo temeke kuhusu mazingira ya nje some how yanaridhisha but sijajua kuhusu taaluma yao zaidi but "Naomba kuuliza matokeo ya waliomba afya mwaka huu mwezi wa sita ngazi ya cheti na diproma ndo yametoka lini na yanapatikana wapi?? sababu kuna mdogo wangu aliomba so naomba mnijuze wakuu,,!!
 
CHUO ni kizuri nilishafikaga hapo nimeona wana maabara moja ya FAMAS na moja ya clinical officer.madarasa yapo na library moja japo haijaa vitabu.nilienda kumchukulia mdogo wangu admisiion.tumia hii namba utapata taarifa zote na kama una whatup mwambie akutumie mandhari ya CHUO.0769566282.asanteni
 
kitambulike na tcu kwani kinatoa shahada?
Vyuo bora vya afya kwa ngazi ya diploma na certificate ni
Kibaha,mtwara,sengerema,lugalo,mvumi,machame
Hivyo ndivyo vyuo vikubwa na bora na vikongwe lakini hivi vingine vilivyoanzishwa sasa hivi vingi ni vya uchochoroni !

Think b4 u comment..unaposema cha uchochoron we unacho au ulfka apo city college ukapatathmin ukaona hapafai..
 
Ni chuo kizuri, kina mazingira, facility, staff na utaratibu mzuri wa kutolea mafunzo ya CLINICAL MEDICINE, PHARMACEUTICAL SCIENCES na MEDICINE DISPENSING. Nimekuwa pale kwa muda sasa na sijaona tatizo. Nipo tayari kumsaidia mtu yeyote atakayehitaji msaada juu ya hili. Atakayehitaji anistue kupitia PM. SIO CHA UCHOCHORONI!
 
ndugu vp samahani kama unaweza kunisaidia contacts za mkuu wa chuo cha city college of health and allied science nimepata nafasi hapo ya asistant c/officer,na pia nisaidie kunitumia picha zinazoonyesha mandhari ya ndani na nje,ahsante sana.
 
kitambulike na tcu kwani kinatoa shahada?
Vyuo bora vya afya kwa ngazi ya diploma na certificate ni
Kibaha,mtwara,sengerema,lugalo,mvumi,machame
Hivyo ndivyo vyuo vikubwa na bora na vikongwe lakini hivi vingine vilivyoanzishwa sasa hivi vingi ni vya uchochoroni !

How about MUHAS,UDOM,AMO MBEYA,KCMC? Navo ni vya uchochoroni??? au co bora maoni yako pliiiz
 
Naomba kuambiwa chuo hicho kipo sehemu gani na kama ikiwezekana naomba contact nimejaribu kwny internet sijapata.. pia mwenye kujua mazingira yake yapoje anijuze tafadhali,mazngira yake ya kujifunza na kujifunzia.. nimepata nafasi hapo ya diploma ya pharmacy(ordinary diploma in pharmaceotical)
Vyuo vya Kanjanja, unamaliza ukipele vyeti mtu anakuwa na mashaka kama una kitu kichwani.
 
Ni chuo kizuri, kina mazingira, facility, staff na utaratibu mzuri wa kutolea mafunzo ya CLINICAL MEDICINE, PHARMACEUTICAL SCIENCES na MEDICINE DISPENSING. Nimekuwa pale kwa muda sasa na sijaona tatizo. Nipo tayari kumsaidia mtu yeyote atakayehitaji msaada juu ya hili. Atakayehitaji anistue kupitia PM. SIO CHA UCHOCHORONI!
hivi chuo kikiwa kimesajiliwa lakini NOT ACCREDITED maana yake nn?
 
Back
Top Bottom