K koryo1952 JF-Expert Member Mar 7, 2023 386 765 Mar 11, 2024 #1 Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.
Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.