Caylar mwass

New Member
May 20, 2019
1
0
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
 
Hiyo kozi inaandaa wanafunzi wasio na sifa za moja kwa moja za kujiunga na degree programs na at least walifika kidato cha nne. Mi najua Open University of Tanzania (OUT) ndo wanatoa hiyo Kwa mwaka mmoja na ukifaulu vizuri unaweza kujiunga na chuo kikuu kwa degree programs.
 
Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
Foundation Programme (OFP) ni kozi ya maandalizi kwa wanafunzi wa makundi matatu.

1. Waliomaliza form 6 na hawakupata principal pass mbili zenye cutoff point ya 4. Ila wanaopaswa kuwa na walau principal pass moja na subsidiary moja (1.5 cutoff point)

2. Waliomaliza Diploma lakini hawajafikisha GPA ya 3.0 ila wawe na GPA inayoanzia 2.0.

3. Wanaohama profession moja kwenda nyingine. Mfano umesoma Diploma ya Education then unataka kusoma Bachelor ya Law ni profession mbili tofauti kabisa hivyo utapaswa kusoma kwanza Foundation Programme.

Mpaka mwaka 2016 vyuo karibu vyote vilikua na Foundation programme lakini ilifutwa na ikarudishwa mwaka 2018 ikiwa na vigezo tofauti kama nilivyoainisha hapo juu na Chuo Kikuu Huria kikapewa jukumu la kutoa programme hiyo ya Foundation.
 
Hapana sifa kubwa awe amefika kidato cha nne
IMG_20240530_192207.jpg
 
Jibu hilo hapo Mtoa mada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom