Hivi NTA Level 3 Ndio ipi? Diploma au Certificate?

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Dec 13, 2013
142
165
Habari wanaJF

Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass mbili yaani D mbili kwa matokeo ya kidato cha nne na pia ukiwa na hiyo NTA level 3. Sasa sijajua hiyo NTA LEVEL 3 inapatikana vipi na chuo gani wanatoa? naomba kueleweshwa.
 
NTA ni National Technical Award
Taasisi kama Veta inatoa mafunzo ya ufundi kuanzia
NTA Level 1 ( Cheti daraja la 1)
NTA Level 2 (Cheti daraja la 2)
NTA Level 3 (Cheti daraja la 3)

Ukitaka kusoma diploma unaaendelea na
NTA Level 4, NTA Level 5 NTA Level 6 na moja wapo ya sifa ya kujiunga NTA Level 4 unatakiwa angalau uwe na cheti cha NTA Level 3
 
Nta ya kugundishia au huu uzi unahusu nini?
 
NTA ni National Technical Award
Taasisi kama Veta inatoa mafunzo ya ufundi kuanzia
NTA Level 1 ( Cheti daraja la 1)
NTA Level 2 (Cheti daraja la 2)
NTA Level 3 (Cheti daraja la 3)

Ukitaka kusoma diploma unaaendelea na
NTA Level 4, NTA Level 5 NTA Level 6 na moja wapo ya sifa ya kujiunga NTA Level 4 unatakiwa angalau uwe na cheti cha NTA Level 3
Unaona sasa mkuu GOSSO MZEKEZEKE, mambo hayo. Tumeongeza maarifa hapa.
 
NVA inaanzia level 1 hadi 3. Hii hutolewa na NACTVET, hutolewa kwa miaka 3 ambapo ukiwa na NVA2 unaweza ke exit na kwenda sokoni. Hivi vyeti hutokewa veta.
Ukianza level 4 ndo zinatolewa na technical colleges hizi husimamiwa na NACTVET pia ila hutolewa veta na technical colleges
 
Back
Top Bottom