Nahitaji kazi, naomba mnisaidie

T bills

Member
Apr 19, 2022
61
65
Habari,

Umri wangu ni miaka 28. Nimekuja kwenu kuomba ajira au mtu yoyote anayeweza kunisaidia kupata ajira.

• Jinsia: Ke
• Elimu: Bachelor Degree ya Commerce in finance (BCOM finance) pia nina Diploma in Finance and Banking.
• Ninapoishi: Dodoma
• Uzoefu wa kazi : Sijawahi kuajiriwa ila nimewahi kufanya field na kujitolea kwenye taasisi za kukopesha fedha.

Nilikuwa nimejiajiri mwenyewe(mjasiriamali), ila kuna matatizo nimeyapitia ya kifamilia yaliyopelekea kunidhoofisha kifedha hadi kuingia kwenye mtaji wa biashara.

Naomba yeyote anayeweza kunipa ajira kwenye office yake au hata anayeweza kunisaidia kupata ajira anisaidie. Nina hitaji sana ajira ili niweze kujikimu na kuendesha maisha yangu na wategemezi wangu.

Sifa za ziada
-Ninajua kutumia computer.
-Ninafahamu kutumia Microsoft word, excel na PowerPoint.
-Ninajua kutumia accouting software mbili (quickbooks na excel).
-Uwezo wangu katika lugha ya kingereza ni mzuri, ninaongea (90%), kusikia na kuelewa (100%), kusoma na kuandika kwa ufasaha (100%).
-Pia mimi ni mchapakazi na ni mwaminifu, mkinipa ajira hamtojutia uamuzi wenu.

Yeyote anayeweza kunisaidia ajira au hata ushauri naomba aniambie nitamfuata inbox.

Asanteni.
 
TRA utapata jarib kabla ya deadline
 
kwa nini usije dar ukapambana hapa..kuna fursa kuliko hapo ulipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom