naomba jina zuri la ku-save namba ya mke wangu

au muite kama jina unalolitumia wewe hapa jf (angalia jina lenyewe)...au unaonaje?
 
mara kadhaa nimekuwa niki save namba ya mke wangu kwenye simu yangu kwa kuandika Idara ya Habari MAELEZO au SHIHATA kutokana na tabia ya kuuliza uliza maswali mengi kama muandishi wa habari, ''' uko wapo? unafanya nini? upo na nani? piga picha nitumie kwenye whatsapp nione upo na kina nani, utarudi saa ngapi? sasa imekuwa kero mpaka kagundua nilivyo save jina lake! wana JF naomben jina zuri la ku save toeni mawazo...............

IGP Naona kama litamfaa
 
Msave ZeMarcopolo
 
1.embe kama wampenda
2.chungwa-kama unatafuta mwingine
3.limau-kama unampenda mtu mwingine lakini unaogopa kumwabia sababu matawi
4.shokishoki -kama una hawara
5.penseni -umechanganiykiwa

hata kisigino linamfaa
 
mara kadhaa nimekuwa niki save namba ya mke wangu kwenye simu yangu kwa kuandika Idara ya Habari MAELEZO au SHIHATA kutokana na tabia ya kuuliza uliza maswali mengi kama muandishi wa habari, ''' uko wapo? unafanya nini? upo na nani? piga picha nitumie kwenye whatsapp nione upo na kina nani, utarudi saa ngapi? sasa imekuwa kero mpaka kagundua nilivyo save jina lake! wana JF naomben jina zuri la ku save toeni mawazo...............

Police Officer/IGP/Lawyer
 
Back
Top Bottom