naitwa smati, natoka tanzania, africa mashariki. sinywi pombe si baki wanawake ila ni mtundu kiasi. napenda kuwa mwanachama. naomba form ya kujiunga.
Tunaomba umri wako kwanza!
acha uzinguz ww mbona ha2jui umri wako.Anyway karibu bana Smati 4m ziko pembeni pale,ila mautundu hayo mmhhh.
Mbona wako siujui
naitwa smati, natoka tanzania, africa mashariki. sinywi pombe si baki wanawake ila ni mtundu kiasi. napenda kuwa mwanachama. naomba form ya kujiunga.
na huo upara???
Huu ni upara wa asili tu nilizaliwa nao, usikutishe sana! ila kwa maswali yako naona unaumri wa kutosha kujiunga na JF, fuata ushauri wa tunalazimika ukapatiwe form yako ya kujiunga. Mimi nikutakie kila la kheri hapa javini, cha muhimu usiwe mtu wa hasira na mwenye pupa. Karibu saaanaaaa.
nimeacha nakala nying kwa yule dereva wa kivuko cha Mv Magogoni anaitwa Invisible_kamwambie nimekutuma akupe nakala yako na uijaze kikamilifu halafu uiache hapo nitaipitia au kama vp njoo ofisi zetu zipo mkabala na Wizara ya Elimu, ukifika mlangoni utakuta picha ya bibi na bwana_ulizia invisibles
Hujaniomba, mimi nimemuomba Smati , pilipili usio ila yakuwashia nini?