Somalia kuwa mwanachama wa africa mashariki tutarajie umoja huu kuvunjika siku za usoni

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,998
8,380
Viongozi wa africa mashariki wamefanya kosa kubwa sana kuharakisha somalia kukaribishwa East Africa community

Nchi ya somalia imevurugika,imeharibika ugaidi umekita hatamu

Wasomali watatumia huu mwanya kujipenyeza kueneza ugaidi kwenye nchi hizi za africa mashariki

Km bila kuwa mwanachama wa africa mashariki amewachukua na kuwarubuni vijana kwenda somalia kujiunga na makundi ya kigaidi sasa amwruhusiwa kuingia chumbani itakuwaje?

Mzee mseven ndiye pekee alibaki km baba wa africa mashariki ila naona amezidiwa ujanja wanasiasa wameamua kuwakaribisha hawa jamaa

Kivyovyote vile somalia kukaribishwa East Africa madhara ni mengi kuliko faida

Somalia wameshindwa kuungana na ndugu zake eritrea aje ajiunge na sisi east africa?

Ni suala la muda tu umoja huu utavunjika
 
Wasomali ni wabaguzi na washenzi sana.

Ukikuta kituo Cha mafuta kina milikiwa na msomali..... Kila mfanyakazi anakuwa na asili ya kisomali. Hata kama ni chotara toleo la 10 akiwa na vinasaba vya pua, nywele na meno(dental formula) anaanza kulinga.

Wasomali hawafai.
 
Mbona Wizara ya Kilimo hawajajazwa wenye asili hiyo?
 
Viongozi wa africa mashariki wamefanya kosa kubwa sana kuharakisha somalia kukaribishwa East Africa community

Nchi ya somalia imevurugika,imeharibika ugaidi umekita hatamu

Wasomali watatumia huu mwanya kujipenyeza kueneza ugaidi kwenye nchi hizi za africa mashariki

Km bila kuwa mwanachama wa africa mashariki amewachukua na kuwarubuni vijana kwenda somalia kujiunga na makundi ya kigaidi sasa amwruhusiwa kuingia chumbani itakuwaje?

Mzee mseven ndiye pekee alibaki km baba wa africa mashariki ila naona amezidiwa ujanja wanasiasa wameamua kuwakaribisha hawa jamaa

Kivyovyote vile somalia kukaribishwa East Africa madhara ni mengi kuliko faida

Somalia wameshindwa kuungana na ndugu zake eritrea aje ajiunge na sisi east africa?

Ni suala la muda tu umoja huu utavunjika
hapana,
EAC itakua imara zaidi, yenye nguvu zaidi na kwakeli yenye biashara na soko kubwa zaidi la bidhaa, huduma, utalii, uwekezaji na kupanuka zaidi kwa biashara na mauzo ya ndani na nje EAC.

Ulinzi na usalama utakua wa uhakika zaidi. Magaidi na majabazi watakua hawana pakujificha tena. Akijificha popote East Afrika atafichuliwa na kuwajibishwa vilivyo.
There will be no excape roots for terrorists and bandints
 
Sio ungefikiria kuwa jumuia ya afrika mashariki itasaidia kutuliza amani kule Somalia kwa kujiunga kwao katika jumuia hii?
 
Back
Top Bottom