Tumia pycha chat nayo whtsappNdugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa mawasiliano gafla afu hataki kuchati tena na mimi
Kuna credit unapewa kila siku, zikiisha inabidi usubirie Mpaka kesho yake upewe nyengine. Pia ukilogin na account ya Microsoft nafkiri wana double hizo credit.Ndugu nazidi kuja kwenu kuomna msaada wa kujua app za bure za kuchat na gpt maana nimeona kule unaweza kuwa na shida ikasaidia kukupa maelekezo. Nilipata moja ya bing nimechat nae kanikatoa mawasiliano gafla afu hataki kuchati tena na mimi
Hii hawana appGoogle wana Ai yao pia, totally free. Inaitwa Bard Ai..simply ni extraordinary, maana ana wide range of data and you can ask in any language.. nilishtuka maana ad kichagga anakijua jua.
check this out Bard - Chat Based AI Tool from Google
Hii kali sanaGoogle wana Ai yao pia, totally free. Inaitwa Bard Ai..simply ni extraordinary, maana ana wide range of data and you can ask in any language.. nilishtuka maana ad kichagga anakijua jua.
check this out Bard - Chat Based AI Tool from Google
Mbn hio inalipiwaGoogle wana Ai yao pia, totally free. Inaitwa Bard Ai..simply ni extraordinary, maana ana wide range of data and you can ask in any language.. nilishtuka maana ad kichagga anakijua jua.
check this out Bard - Chat Based AI Tool from Google