Naogopa kuficha maradhi

Salama wakuu...
asanteni kwa mashauri yenu nilienda hospital nikachukuliwa kipimo cha Damu na mkojo majibu yalipotoka nikaambiwa sina ugonjwa wowote
Doctaa akashauri nichukue ka tube ka kupaka kwenye kidonda,, cha ajabu ni nini naona haya maji maji yakigusa kwenye paja panatoka kitu ka kipele na hospital wanadai sina ugonjwa wowote..
 
Inawezekana kwani jana nilipopitia hospital jamaa wakanipa dawa ya kupaka na kisha wakachukua vipimo na kuniomba niende leo saa nne GMT:2
Ila niombeeni kwa mungu kwani nahisi shemeji yenu ananichezea game chafu ngoja nikirudi home.

nadhani magonjwa ya zinaa yanaweza kuambukizwa hata kwa matumizi ya vyoo vya jumuiya,sio lazima mkeo akawa sio mwaminifu.
 
skia, hiyo kitu ni GONORRHEA kaka.
ni Ugonjwa wa zinaa nenda hospitali tu, dawa zipo tena bei rahisi matibabu wiki moja tu ukishaanza
kwa kumeza dawa unapona!

Ndio,, nimeenda hospital nimepima mkojo na damu,
But majibu yanaonesha MKOJO NIL,,BLOOD NIL
 
nadhani magonjwa ya zinaa yanaweza kuambukizwa hata kwa matumizi ya vyoo vya jumuiya,sio lazima mkeo akawa sio mwaminifu.

Nikutokana na maneno yaliyopo,,,
But mnisamehe kwani hosptali wanasema sina gonjwa lolote...
NB: Nafuta kauli ya kumuhusisha wife na hii kitu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom