Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

chicco

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
748
256
Habari zenu wana jukwaa.

Napenda kuwataarifu kuwa natarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Natumia hii thread maalum kabisa kwa kuomba msaada wenu. Tafadhali kama kuna member yeyote anaweza nijulisha haya nitashukuru sana.

- Ni wapi hapa Dar naweza pata gari za kukodi kwa ajili ya maharusi?
- Ni wapi naweza kupata magauni mazuri ya bi harusi kwa ajili ya kukodi ama kununua?
- Ni wapi naweza kupata suti nzuri kwa ajili ya bwana harusi? (Kuna mdau mmoja aliweka tangazo la suti na akatoa namba lakini nilipompigia alikuwa hapatikani - ila nipo bado kwenye mchakato wa kumtafuta).

*Pia kama kuna mtu ana ushauri juu ya hayo ninayotafuta nitashukuru.

Natanguliza Shukrani.

Chicco.
 
Haujasema unataka za bei gani! Kama unataka bei ya kawaida magauni nenda sinza kwa remy yapo magauni ya kukodi. Sikushauri ununue maana itakuwa hasara kwani linatumika mara moja tu. Suti nenda kariakoo maduka ya jumla utapata kwani ndio wanazipeleka posta na mwenge. Kila la kheri
 
asante sana mkuu.nitapitia sehemu hizo.
 
Ningependa kukushauri hivi ni vyema ukatembea maduka ya nguo ili ujue kama suti zaweza kupatikana ila kuna sehemu maeneo ya kinondoni biafra kuna watu wanahhusika na mambo ya wedding planner wana magauni ya bi harusi hapo wanakodisha na kushona pia kama bi harusi anataka kushona anashonewa vile anavyopenda yeye, Panaitwa TAUSI FASHION jaribu pale, na sehemu ingine ni kinondoni manyanya mkabala na studio kuna duka la nguo za harusi pale waweza kwenda pia , kuhusu suti kuna maduka yako pale azikiwe/samora street posta nenda kajaribu napo au naweza kukupelekka kwa ndugu yangu kariakoo ana duka la nguo hususani suti za wanaume kila rangi utakayo zinauzwa, ama ukipenda naweza kukupeleka kwa fundi ambaye ni mtaalamu wa nguo za harusi yuko kinondoni atakushonea size yako uipendayo wewe pamoja na msimamzi wako pia, nadhani mpaka hapa utakuwa umepata msaada kidogo, sasa hivi ndugu kuhusu ziile huduma ambazo nilikwambia nikuoneshe ili unipe hiyo tenda naona kimya wangu kulikoni na ulisema utanitafuta weekend tuonane vipi tena au?

naona tunaviziana.kama una namba ya voda/tigo nipm tuongee nikutafute ikiwezekana leo japo ndo napita madukani hivyo kuangalia nguo.asante kwa msaada na ushauri.
 
Habari zenu wana jukwaa.Napenda kuwataarifu kuwa natarajia kufunga ndoa hivi karibuni. Natumia hii thread maalum kabisa kwa kuomba msaada wenu. Tafadhali kama kuna member yeyote anaweza nijulisha haya nitashukuru sana.- Ni wapi hapa Dar naweza pata gari za kukodi kwa ajili ya maharusi?- Ni wapi naweza kupata magauni mazuri ya bi harusi kwa ajili ya kukodi ama kununua?- Ni wapi naweza kupata suti nzuri kwa ajili ya bwana harusi? (Kuna mdau mmoja aliweka tangazo la suti na akatoa namba lakini nilipompigia alikuwa hapatikani - ila nipo bado kwenye mchakato wa kumtafuta).*Pia kama kuna mtu ana ushauri juu ya hayo ninayotafuta nitashukuru. Natanguliza Shukrani.Chicco.
Wenye taaluma zao kazi kwenu.
 
Kuna ndugu yangu yupo chan'gombe mchicha anakodisha kwa bei rahisi kbs na ni mashela mazuri sana. Contact 0716847795
 
Haujasema unataka za bei gani! Kama unataka bei ya kawaida magauni nenda sinza kwa remy yapo magauni ya kukodi. Sikushauri ununue maana itakuwa hasara kwani linatumika mara moja tu. Suti nenda kariakoo maduka ya jumla utapata kwani ndio wanazipeleka posta na mwenge. Kila la kheri

Siku hizi bei za kukodi gauni zikoje siku hizi?
 
Mkubwa mangi uchuni mbaya sasa hvi. Kuliko kununua gauni la laki sita ni bora ukodi la laki na nusu. Kumbuka ukinunu ukiwa na mawazo ya kukodisha ni ngumu kupata walio sawa na my waifu wako kiumbo. Wakodishaj wanayapunguza na kuyaongeza kulingana na hitaji la mkodishaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom