William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Wakuu wote heshima mbele sana,
- Ni muda sasa tumekua kwenye hizi blogs, tukijaribu kwa njia moja au nyingine kulisaidia mawazo taifa letu ili liweze kujua ubovu wa mawazo na vitendo vya viongozi wetu ulipo, ubovu wa mawazo na vitendo vyetu wananchi katika kuchangia hali mbaya ya matatizo ya maendeleo ya taifa letu.
- Sio siri na wengi mtakubaliana na mimi kwamba katika blogs nyingi sana ndani ya mtandao, yaani Internent kwa ujumla, hizi blogs mbili za JF na Michuzi Jamii, ndiyo zinazoongoza kwa kuwa na watumiaji wengi kuliko blogs zingine, na sio siri kwamba vijana wawili Mwanakijiji kutoka JF Kumkoma Nyani na John Mashaka kutoka kwa Balozi nanihio ndio wanaweza kuwajibika kama viongozi wa mawazo wa hizi blogs.
- Sasa Tanzania ni nchi ya kibepari, sio ya kijamaa tena, na uti wa mgongo wa ubepari ni Competition among the participants wa ubepari huo, yaani in Tanzania's case sisi wananchi, ambao baadhi yetu ni members wa hizi blogs, sasa ufike wakati tupime mafanikio na mapungufu yetu kwa facts na dataz ikibidi, je kati ya hawa mabingwa wawili wa itikadi za maendeleo, yaani Mwanakijiji na John Mashaka nani ni zaidi kwa kuwa na vision inayoweza kulisaidia taifa letu kusonga mbele? au kufichua matatizo sugu ya taifa letu?
- Na je ni blog ipi kati ya hizi mbili inayowafikia wanachi wengi zaidi na hivyo ku-make not only a difference in their thinking, lakini hata making a sense kuhusu taifa letu? Naomba tuchangie huku tukijali facts, dataz na hasa wananchi wa Tanzania na masilahi ya taifa letu mbele, I mean I do not care what somebody is better than the other, sasa ni wakati wa kutoa salute kwa bingwa kama kweli tunataka kusonga mbele kupitia njia ya ubepari! na pia kujirekebisha in the process!
Respect na Mungu Aibariki Tanzania, na hasa JF Kumkoma Nyani, Where We Dare!
Field Marshall Es! Ni Wazee Wa Sauti Ya Umeme!