Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Hata mimi, hata wewe, hata yule, hata sisi, hata nyie, hata wale hata........hatuwezi kujilinganisha na Mzee Mwanakijiji!!!! Ni hero ambaye amejaribu hata ku-risk maisha yake kuandika uozo na maovu ya nchi hii na vibaraka wake. Wengine hatujathubutu, tuko hapa kwenye net tukijificha na majina ya utata. Huwa ninajiuliza hivi huyu Mzee Mwanakijiji alipata wapi hiki kipaji cha uandishi na kupata evidence kiasi hicho??? He is a man of men!!! Let us repect him even more and accord him necessary support. Keep it up Mkuu.