nani unamkubali/unamgwaya jf?

Barantanda, nonda, Belo, ndetichia, gutierez, myao wa tunduru, companero bila kumsahau Gang Chomba ambaye post zake alizowahi kuziandika kuwa
1. ''Siku Gaucho akiwa uwanjani basi Malaika huacha shughuli zao mbinguni''
2. ''kama mpira ungekuwa na mdomo basi kila mara ungeomba upelekwe kwa Gaucho''
3. ''gaucho ni nabii wa soka aliyetumwa kutuonyesha soka la mbinguni''
4. ''kama Gaucho akianzisha dini basi Gang chomba atakuwa muumini wa kwanza''

Bas kauli hizi zimenifanya namkubali sana huyu jamaa, pamoja na pumba alizonazo muda wote na mapenzi yake kwa ac milan hakika jamaa ni wa kipeke yake.
 
Yummy Yummy sweetie......you are warmly welcome! Kipipi is so lovable, no need to worry! BTW; me penda wewe.......with the hand of thanks!!

:smile-big: asante sana kipipi wangu.....habari ya wikiendi?
 
:smile-big: asante sana kipipi wangu.....habari ya wikiendi?

Asante pia my Yummy Yummy sweetie! Wikiend ya leo kwangu ipo cool kabisa......vipi kwa upande wako chipenzi? Naona umeachia tabasamu pana tu....nahisi hiyo inaashiria kwamba you are well and good right???
 
Namshukuru Mungu kwakweli my weekend is superb!!!nakenua kenua tu hapa....karibu tule makande.
 
afu sehemu za kuuzia nyama zinaitwaje?
Kuna mmoja ana jina kama hilo mwanzo, mwisho linaishia na zile chapati zinawekewa mara butter mara garlic.

Uwiii, nikimuona huyo sehemu zote husinyaa na kunyauka kama majani makavu.

tehetehe
 
Back
Top Bottom