nani unamkubali/unamgwaya jf?

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,066
Nauliza hivi,humu jf nani ni rafiki yako wa mtandao ambaye kwa sura hamfahamiani (hamjawahi kukutana physically wala kwa simu) lakini hisia zako kwake ni za mtu ambaye mko karibu (you are comfortable around him/her virtually) kiasi kwamba kupitia majibizano mbali mbali kwenye threads/posts unakuwa huna wasiwasi kuwa hata kidole (sio ulimi) kikiteleza hawezi kamwe kukuripoti abuse ukalambwa ban.In the same vein, je ni nani unamgwaya kiasi kwamba thread/post zake unazipitia pembeni au uki comment basi inakuwa ni kwa tahadhari sana maana unaogopa one mistake ataku report abuse ma mods wakutie bakora? sema tu usiogope.
ps: Bishanga ntarudi baadae na majina yangu ngoja kwanza nisokote kipande.
 
Mi niko comfortable na watu wote wa familia yetu, hasa shangazi.
Uncomfortable? sijui mtu binafsi, ila kule jukwaa la siasa au International
Sometimes I make comments that people don't like, but najua sheria za JF
I am not worried about Bans.
Kuna mtu fulani mchokozi, najua atanishababishia Ban one day, huyo namuogopa.
 
Mi niko comfortable na watu wote wa familia yetu, hasa shangazi.
Uncomfortable? sijui mtu binafsi, ila kule jukwaa la siasa au International
Sometimes I make comments that people don't like, but najua sheria za JF
I am not worried about Bans.
Kuna mtu fulani mchokozi, najua atanishababishia Ban one day, huyo namuogopa
.
sema usiogope sema....ewe mwali sema usiogope sema!
 
Michelle, Kongosho, Kaiza. Namgwaya Boflo kamanda thread zake sijui zina nini hua nahisi
ninaweza kukuta midume inadungana!
hahaha.....uuuuuwi......michelle mmmhhh kwa raha zenu.....boflo ngoja aje amwage utetezi.
 
sema usiogope sema....ewe mwali sema usiogope sema!
Ah, ngoja nikae kimya tu. Kuna siku alinichokoza nikandika post kwa hasira,
then nikaona yeye anafurahia sana akiniona na hasira, he will just enjoy it.
Nikafuta post na kumweka ignore list. He is still there. Yeye anajijua. The MTHFCKR!!!
 
message sent sio?
 
I LOVE YOU ALL

I HATE NO BODY.:welcome:
ndugu yangu Aspirin,sikubaliani na wewe.Hebu niambie ,ni wangapi humu jf unadiriki kuwambia kuwa 'umewazalisha mapacha watatu'? you see? hao unaoweza kuwatania kihivyo ndo nasema you are comfortable around them ( na si lazima mnafahamiana physically) na si kila mwana jf.
 
Back
Top Bottom