Maige,Ngeleja,Wasira,lusinde
Make no mistake Ben anajiamini sana na ni moja ya sifa yakiongozi, sio muoga, pia nimeona speech zake akiwa nje jamaa anaongea kisomi sana na kujiamini kwa hali ya juu. nina uhakika kama kungekuwa na vita angeruhusu majeshi yaponde adui kama wanaua nyoka. mwingine namuadmire ni Mrema, aliijipatia umaarufu kwa utendaji wake. Pia wako Filikunjombe, Zitto,Mnyika, Slaa, Tundu, na bila kumsahau Mtikila.. huyu ndio mwanamageuzi wa ukweli kwa sababu alianza kupambana na ccm kabla hata vyama vingi havijaruhusiwa nchini na ni wa kwanza kuukataa muungano kabla hata hawa wala urojo hawajaanza kupiga kelenamadmire Mh. Ben! napata raha ata nikimwona anaongea! huwa anajiamini na naonesha kufahamu nini anaongea.......! he is always serious! nam admire sana! mh. slaa kanifanya nipende siasa, Halima Mdee nampenda huwa anajiamini sana wanawake wachache wako kama yeye! Mh mbowe, January Makamba!
Lusinde wa Mtera
William John Samwel Malecela, mtoto wa waziri mkuu mstaafu John Malecela. Napenda sana anavyoendesha siasa zake hasa kwenye wall yake ya fb.
ndugu basi usiwe unaquate logic usizoelewa!umemalizia kwa kujijibu,umesema hakuna role modal kwa kuwa wote waongo alaf unasema unseen are illustrated by seen! It means hakuna role model wako ila kuna wasiokuwepo wanaonekana kupitia waliopo au wanaoonekana! Hapa inaeleweka kuwa kuna the unseen role model illustrated by the seen,ok!?.?.! Basi kwa quotation yako unatulazimu walimu tukuchagulie jibu kuwa unseen role model wako should be illustrated by the seen!so the seen chosen for you and on your commanded behalf is dr slaa,if not then take less impact prof majimaref,lusinde and the like! Huwezi kuleta quatation mwenyewe alaf uikatae! Gsana.Hakuna mwanasiasa yeyote ambaye ni role modal wanngu. Maana wanasiasa wote ni waongo ilihali mimi sio muongo, kwa hiyo siwezi kuwa na role modal wangu.
The unseen is illustrated by the seen.