Nani mwanasiasa unaependezwa naye,ungependa awe role model wako TZ?

Hakuna mwanasiasa yeyote ambaye ni role modal wanngu. Maana wanasiasa wote ni waongo ilihali mimi sio muongo, kwa hiyo siwezi kuwa na role modal wangu.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Prophet Godbless lema... Huu jamaa ni jembe.. Napenda sana anavyojiamin na alivyojasiri... Mpenda haki... Namkubali sana huyu kamanda...
 
namadmire Mh. Ben! napata raha ata nikimwona anaongea! huwa anajiamini na naonesha kufahamu nini anaongea.......! he is always serious! nam admire sana! mh. slaa kanifanya nipende siasa, Halima Mdee nampenda huwa anajiamini sana wanawake wachache wako kama yeye! Mh mbowe, January Makamba!
Make no mistake Ben anajiamini sana na ni moja ya sifa yakiongozi, sio muoga, pia nimeona speech zake akiwa nje jamaa anaongea kisomi sana na kujiamini kwa hali ya juu. nina uhakika kama kungekuwa na vita angeruhusu majeshi yaponde adui kama wanaua nyoka. mwingine namuadmire ni Mrema, aliijipatia umaarufu kwa utendaji wake. Pia wako Filikunjombe, Zitto,Mnyika, Slaa, Tundu, na bila kumsahau Mtikila.. huyu ndio mwanamageuzi wa ukweli kwa sababu alianza kupambana na ccm kabla hata vyama vingi havijaruhusiwa nchini na ni wa kwanza kuukataa muungano kabla hata hawa wala urojo hawajaanza kupiga kele
MNAKUMBUKA MKUTANO WA MTIKILA JANGWANI NA MATOKEO YAKE????
 
Hakuna wa kumlinganisha na Dr. Slaa
1. Amewafanya waTZ wengi wamejua nini maana ya siasa kwa mustakabali wa maisha yao
2. Km ni ushujaa basi ni wa kipekee, kumbuka list of shame iliyosheeni vigogo wasioshikika
3. Haongei bila facts, mara zote anafanya uchunguzi yakinifu kabla ya kuongea
4. Hana sura mbili za kisiasa km baadhi ya viongozi ( Zitto ndani ingawa ana sifa nyingi nzuri ila hii inamuangusha na kupelekea wanaCDM wengi tudhani ni optimist)
5. Anafanya kazi ya kukijenga chama chake kwa nguvu, akili na maarifa mengi na kuwazidi takribani vijana wote ndani ya chama hata kwa umri mkubwa alionao ( Kwa hili huwezi mlinganisha na kiongozi yeyote nje na ndani ya CDM)
NA NYINGINE NYINGI
SANA
 
Pia Kikwete ni good role model kwa sababu huwa carefull sana anapofanya maamuzi kitu ambacho wengi huzani kuwa anawalinda washikaji. sio kila gazeti likimuandika waziri vibaya eti Rais akurupuke kufukuza mtu, inabidi taratibu zifuatwe laa sivyo atakuwa kazi yake ni kubadilisha mawaziri kila kukicha. sema tu ningemshauri apunguze upole inabidi awe anafoka kidogo na kukunja uso sometimes, kwa sababu wengine wakimuona anasmile wanazani anapenda kuona madudu yao hasa wale wa TBS
 
Hakuna wa kumlinganisha na Dr. Slaa
1. Amewafanya waTZ wengi wamejua nini maana ya siasa kwa mustakabali wa maisha yao
2. Km ni ushujaa basi ni wa kipekee, kumbuka list of shame iliyosheeni vigogo wasioshikika
3. Haongei bila facts, mara zote anafanya uchunguzi yakinifu kabla ya kuongea
4. Hana sura mbili za kisiasa km baadhi ya viongozi ( Zitto ndani ingawa ana sifa nyingi nzuri ila hii inamuangusha na kupelekea wanaCDM wengi tudhani ni optimist)
5. Anafanya kazi ya kukijenga chama chake kwa nguvu, akili na maarifa mengi na kuwazidi takribani vijana wote ndani ya chama hata kwa umri mkubwa alionao ( Kwa hili huwezi mlinganisha na kiongozi yeyote nje na ndani ya CDM)
NA NYINGINE NYINGI SANA
 
Mimi ni msukuma wa mwanza.my role model is freeman aikael mbowe.
I hate john shibuda so much
 
Kila ambaye Mungu anamfahamu kua ni figure wa cdm kiukweli na siyo acting.
 
CHACHA ZAKAYO WANGWE!(R.I.P)
Huyu ndio role model wangu asee
Nani asiye jua msimamo wa huyu Rasta asee???
Rastafari never die kimwili haupo nasi kiroho upo nasi...
 
Zitto Kabwe, January Makamba, The true leader after nyerere in TZ is Kinana, the man has princals and he is super clean, vert fair. kila wizara aliyofanya kazi anapendwa mpaka kesho. He is the only Minister of Defence who has visited kambi zote za jeshi, na anapendwa mpaka kesho. katika vijana Zitto ndiye maradona wa siyasa, japokuwa Chadema hawamtaki. Chadema ikimfanya mgombea Urais wao, Man believe me he will win landslide, sio akina Slaa au mbowe.
 
Daktari Wilbroad Peter Slaa na viongozi wengine wa CDM ndiyo kila kitu kwangu, isipokua Shibuda mropokaji.
 
Hakuna mwanasiasa yeyote ambaye ni role modal wanngu. Maana wanasiasa wote ni waongo ilihali mimi sio muongo, kwa hiyo siwezi kuwa na role modal wangu.
The unseen is illustrated by the seen.
ndugu basi usiwe unaquate logic usizoelewa!umemalizia kwa kujijibu,umesema hakuna role modal kwa kuwa wote waongo alaf unasema unseen are illustrated by seen! It means hakuna role model wako ila kuna wasiokuwepo wanaonekana kupitia waliopo au wanaoonekana! Hapa inaeleweka kuwa kuna the unseen role model illustrated by the seen,ok!?.?.! Basi kwa quotation yako unatulazimu walimu tukuchagulie jibu kuwa unseen role model wako should be illustrated by the seen!so the seen chosen for you and on your commanded behalf is dr slaa,if not then take less impact prof majimaref,lusinde and the like! Huwezi kuleta quatation mwenyewe alaf uikatae! Gsana.
 
Back
Top Bottom