Huwa wanaandika nini kwa manufaa ya wanaowafuatilia, angalau Ayo ni mtoa taarifa mbalimbali.Mtanzania gani mwingine ana followers Instagram zaidi ya hawa? Sio mtumiaji sana wa Instagram lakini katika pitapita zangu naona hawa wanao followers wengi sana.
Diamond ana followers 7.1 Milioni.
Millard Ayo ana 5.3 Milioni.
Mtanzania gani mwingine mwenye kazi zake hapa bongo na ana idadi sawa ama zaidi ya hawa?
Na ni kwa nini huyu Millard yuko mbali kiasi hiki? Ni hii redio peke yake au kuna kingine?
Mtanzania gani mwingine ana followers Instagram zaidi ya hawa? Sio mtumiaji sana wa Instagram lakini katika pitapita zangu naona hawa wanao followers wengi sana.
Diamond ana followers 7.1 Milioni.
Millard Ayo ana 5.3 Milioni.
Mtanzania gani mwingine mwenye kazi zake hapa bongo na ana idadi sawa ama zaidi ya hawa?
Na ni kwa nini huyu Millard yuko mbali kiasi hiki? Ni hii redio peke yake au kuna kingine?
HIVI NAOMBA KUULIZA HUU UJINGA ; UKIWA NA FOLLOWERS WENGI UNAPATA FAIDA GANI UNALIPWA PESA AU KUNA ZAWADI UNATUMIWA KUWA WEWE UNA WADAKU WENGI UPUUZI
mfano anataka kumpa tangazo alipost kwenye acount yake we utajuaje?.Yaan ww badala ya kuanzisha uzi wenye manufaa kwako ama kwa watu wengine unatafuta nani ana followers wengi insta ? Ok ushajua sasa Diamond anaongoza wengine wafuata then what?
SureMimi
Kwa Tanzania kuwa na followers wengi kwangu hakumaanishi chochote bali ni ulimbukeni na fuata mkumbo! Ma-followers wengi wa kitanzania ni watu wasiojua hata umuhimu au kwanini wanam-follow mtu fulani. Hawana msimamo na wanachoamini na hu-follow fulani kwa sababu tu ameona wengine wamefanya hivyo. Hili lime-create society ya watu wengi malimbukeni, wanaomiliki simu na ku-follow mtu yeyote wanayeona watu wengine wamefanya hivyo. Wengi wanaamini usipom-follow fulani utaonekana siyo mjanja au ni mshamba! Hii inadhihirishwa na ma-followers wengi wanavyojirudia rudia ku-follow watu wengi. Iwe Facebook au Instagram au You-tube, unakuta mtu akiwa na simu kazi yake ni kubwa ni kubonyeza vitufe vya subscribe au follow kwa mtu yeyote anayesikika sikia mara kwa mara. Kwa kifupi wengi wana-follow siyo ku-gain chochote bali kwa sababu wameona wengine wanafanya hivyo.Mtanzania gani mwingine ana followers Instagram zaidi ya hawa? Sio mtumiaji sana wa Instagram lakini katika pitapita zangu naona hawa wanao followers wengi sana.
Diamond ana followers 7.1 Milioni.
Millard Ayo ana 5.3 Milioni.
Mtanzania gani mwingine mwenye kazi zake hapa bongo na ana idadi sawa ama zaidi ya hawa?
Na ni kwa nini huyu Millard yuko mbali kiasi hiki? Ni hii redio peke yake au kuna kingine?
Sasa ww mwenye akili nyingi fafanua mtu mwingine awe na followers wengi insta ww binafsi inakusaidia nn kuendesha maisha yako?
Hivi shule bado hazijafunguliwa tu?Mtanzania gani mwingine ana followers Instagram zaidi ya hawa? Sio mtumiaji sana wa Instagram lakini katika pitapita zangu naona hawa wanao followers wengi sana.