Nani mmiliki wa DarLive?

CRDB kuuza eneo si makubaliano yao? Wameona inawalipa, nini tatizo? Pia kwa huyo fundi kukuhakikishia si dhani kama kuna ka ukweli! Kwani Riz1 ndiye msimamizi wa ujenzi?

Ndiye mlipaji mafundi na alikua anakuja kuangalia maendeleo ya ujenzi.
 
we need to be sensible sometime, huyo rizone hawezi kumiliki kila kitu jamani, yaani kila kinachojengwa au kufunguliwa hapa mjini ni cha rizone? stop these nonsense! hata kama ana tamaa vipi hawezi kumiliki vitu vyote ivyo vinavyokua linked na yeye!

Relax,mbona watu hawajamwambia majengo mengine? Kwanin iwe darlive,lake oil,kiwanda cha cement,big bon na lile jengo kwa nyuma(sinza mori),na mashamba na viwanja,mijengo kila mkoa?? Chunguza mjomba utabaini tu!!
 
Kila kitu kipya mjini ni cha riz1,acheni kupotosha umma. mmliki halali ni Erick

Kiwanja cha pale alinunua shigongo zamani sana akawa anafyatua matofali 2005 ila kwa sasa riz.moko kachukua jumla na kajenga darlive!!!
 
Erick:
1. Global Publishers
2. Johannesburg Hotel - Sinza Mori (Mole)
3. Atriums Hotel - Sinza/Mwenge Africa Sanaa
4. Herbays (spelling??) Hotel - Mwenge near Bamaga Petrol Station
5. DarLive - Mbagala
6. .............
7. .............
8. .............
9. .............
10. ............

and the list goes on?
Mjasiria Mali, Fisadi au Mwekezaji???
 
Erick:
1. Global Publishers
2. Johannesburg Hotel - Sinza Mori (Mole)
3. Atriums Hotel - Sinza/Mwenge Africa Sanaa

4. Herbays (spelling??) Hotel - Mwenge near Bamaga Petrol Station
5. DarLive - Mbagala
6. .............
7. .............
8. .............
9. .............
10. ............

and the list goes on?
Mjasiria Mali, Fisadi au Mwekezaji???

Your very very very wrong man! Take it in red, vingine vyoooote yeye ni front man.
100% DarLive inamilikiwa na Mtoto wa kiume wa Baba mwanaasha. I have been working with both guys. I know much about them and how they...
Siyo Herbays ni Kebys, inamilikiwa na mdada momja (mjanja-mnjanja ana fedha ndeeeefu) aliwahi kuwa demu wa Maganga, Meneja Masoko wa Guardian, haina uhusiano wowote na Shi. Done talk!
 
eric shigongo mlokole anamiliki night club? Duh ufalme wa mbinguni ni kazi sana

Lakini kama mmiliki atakua huyo riz1 mi naona afazali kama atakua anafanya biashara kama hizo zinawasaidia wabongo kupata ajira kitu tusichotaka kupora mali za serikali na kuzifanya ziwe zake yaani ujanjaujanja ndo hatutaki
 
Back
Top Bottom