Nani mkali kwa uzi wa malovee mmu??

Mno'mno! Kama ulikua hujui , basi leo jua!
Unanisuuza.
kha haja bwana ntakusuuza vinzuri kwa kutumia maji ya mlimani.
 
Ya mlimani mbona ya kawaida sana? Mi nilidhani ya Zamzam
aaah umenikumbusha jamani yaan maji ya zamzam ni mazuri hayo.
 
Si kosa lake Husninyo alimpa ruhusa.. Anaitumia hiyo nafasi vizuri.

jamani judgement ni rafiki tu mazee mbona men wng yupo hata ye anamjua.
 
Si kosa lake Husninyo alimpa ruhusa.. Anaitumia hiyo nafasi vizuri.

Shem Amyner! Hapahitaji shaka, kwamba ndg yenu aliweka mambo hadharani.
Kua ndoa ile kwishney! Arijojo!
My request kwako ukishirikiana na Erickb52 na sweetlady nitafutieni basi "wife online" mkizingatia usimbe Jf nilikua nshausahau!
Chekini-chekini pa kunipigia pande.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom