Nani mkali kwa uzi wa malovee mmu??

Shem Amyner! Hapahitaji shaka, kwamba ndg yenu aliweka mambo hadharani.
Kua ndoa ile kwishney! Arijojo!
My request kwako ukishirikiana na Erickb52 na sweetlady nitafutieni basi "wife online" mkizingatia usimbe Jf nilikua nshausahau!
Chekini-chekini pa kunipigia pande.
Teh teh kijana bora umetangaza nia....
Usijali ngoja niongee na shemeji yakl@amyner tujue la kufanya...anamalizia kuandaa cha jioni then tutakujulisha...
Tukutane badae meeeen!!!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh kijana bora umetangaza nia....
Usijali ngoja niongee na shemeji yakl@amyner tujue la kufanya...anamalizia kuandaa cha jioni then tutakujulisha...
Tukutane badae meeeen!!!

Shwari !
Zile habari zisemazo "biashara asubuhi" zishapitwa na muda! nw dys "biashara alfajiri"
 
Hahahaaaa Ummu acha kung'ata vidome aisee....relux then chukua hatua.....
erick52 mi nishatolewa barua asije ngoma bure mwana jf kunichukua jumla
 
Mambo ?
Na kumtambulisha tumjue tatizo nini?

niko poa
maadili ya dini yanasema USITANGAZE UCHUMBA TANGANZA NDOA.nikimtaja hapa kila mtu atamtoa kasoro mwisho wa siku atanibwaga bure na mi nishapenda.
 
Mambo ?
Na kumtambulisha tumjue tatizo nini?

niko poa
maadili ya dini yanasema USITANGAZE UCHUMBA TANGANZA NDOA.nikimtaja hapa kila mtu atamtoa kasoro mwisho wa siku atanibwaga bure na mi nishapenda.

Done well ! Umesomeka vyema, ni kama jibu lilikwisha andaliwa kusubiri swali.
So far ceremonial lini ?
 
Done well ! Umesomeka vyema, ni kama jibu lilikwisha andaliwa kusubiri swali.
So far ceremonial lini ?
usijali baada ya taratibu kukamilika kila kitu hewani.
 
Hivi hapa mnaongelea nini vile
mr rocky ni mtambuzi v/s rutashumbanyuma
 
Ummu kulthum bado nimebaki njia panda
Kujua lako kusudi
Ajapo Rutashubanyuma tapata japo fafanuzi
Hebu sema lisemwalo kweli
Tupate japo fahamishwa
 
Hahahahahahaaa ni kweli aisee ila naona Ruta ni km anataka kuleta mizengwe kwa nanii

Umeiona kumbe? Sasa hapo tumuachie Ruta, tumhurumie keshajipinda na mashairi lukuki ! mengine ya rangi ya bluu, mekundu tusimtese !
So Jf haijafilisika vimwana, tuendeleze anga zingine kimanyatunyatu tutanyatua tu!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom