Nani mkali? Kenny Rogers & Don Williams!

Huwezi kuwafananisha hawa pamoja na kwamba wote wanaimba country nani mkali inategemea Mudi yako wakati unawasikiliza don katulia zaidi ukiwa na mawazo anafaa na kiuzingizi kwa mbaali au ukiwa safarini use msikilizaji ukiwa dereva utatia gari mtaroni ila Kenny anafiti kote amechangamka kidogo vyovyote poa tu.
 
Mimi ni mpenzi sana wa country musics and i have lots of albums from different artists. Kenny ad Don are all best country artists. Lakini nikiambiwa niweke mapenzi yangu upande mmoja basi nitaweka kwa Don Williams. Yule mzee kazeeka na sauti yake kama ilivyo yani, yuko very calm anapoimba. Ukiweza fuatilia albums zake zote utaelewa. Ni mzee wa ballads pia
kabisa mkuu, nakubaliana na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom