BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,812
- 5,765
Ngoma Droo..
Inakuwaje kila aina ya music unafuatiliaa. ..?? Wonderful. .. even reggae. .???Wamjua Diana King? Kwenye Reggae na dancehall.
Kuna mmoja zaidi hapo!
I will remember u Vs Jamaica farewell!The gambler
Loving arms
Lucille
Coward of the county
I will remember
Oh! My Love
She believes in me
VS
We should be together
We've got love
I've been loved by the best
It's good to see you
Say it again
Lord i hope this day is good
Amanda
Turn out light/Love me tonight...
Daah huu mpambano aiseee ni wa kukata na mundu.....nakubali sana vocal ya Keny ila Don kwa mistari tu ni habari nyingine.....kashanipa madem wawili huyu don kupitia "we should be together" na "say it again".......
Ila keny ndo kanifanya nisikilize country na kuzipenda kupitia ngoma yake ya "coward of the county" Nani zaid? Wote zaidi!!!
Ya Parton nzur bn sema n zaman kizaz kpya hawaifahamu! Sikiza izo mbil uone ipi inaleta relief ya moyoAsante sana aiseee... ilikuwa inanichanganya kati ya parton na Whitney nani alikuwa wa kwanza... but version ya Whitney Houston ndo ilikuwa nzur sanaa n zaid ya parton... fantastic. ..
Thts greathii topic nimeisoma 1899 kwenye gazet la uk linaitwa great times.
mwnyw 90's bt izo song n favourite yngu pluz za King Michael J JImekuwaje ukawa mpenz wa country. . Maana wa 90 wote ni bongo flavour au RnB.. nimeshangaa sana aiseee....
Umenkumbusha kuna ile ya " but you love me, daddy" awa jamaa mafund snNapenda majibu ya Tommy,"I promised you dad not to do the things you've done,I will walk away from trouble when i can,now please don't think i'm weak i didn't turn the other cheek,and papa i should hope you understand sometimes you gotta fight when you're a man."
Mkuuu version zote mbil ninazo... ila Houston ni hatari.. ile sautii n hatariii... salute. ..Ya Parton nzur bn sema n zaman kizaz kpya hawaifahamu! Sikiza izo mbil uone ipi inaleta relief ya moyo
Nshazoeaa wa 90's wote n bongo flavour. ...mwnyw 90's bt izo song n favourite yngu pluz za King Michael J J
Taja na wa upande wa pili...."Best friend ",
"love me over again"
"Amanda"
Don Williams is the best!
Shy Guy,huyo simpat.. niambie akina alpha bond.. culture. . Tosh... UB40... hebu nitajie wimbo zake km mbil labda na mfaham..