We mkali kamandaLabda Lt. General Venance Mabeyo
We mkali kamandaLabda Lt. General Venance Mabeyo
We mkali kamandaLabda Lt. General Venance Mabeyo
Mkuu umetisha saaana yametimiaLabda Lt. General Venance Mabeyo
Na ndio kawa huyoKama ningekuwa nabeti, Next CDF ni Mabeyo.
Ameshatengua kitendawiliHeee,, mara hii yule Angefaa sn mbona alikuwa kijana bado nilipomwacha pale Makao.
Basi kama ni hivyo tumwachie MUKULU ,, atengue mwenye hicho kitendawili tumpe mji,, miye nataka aende mkoa wa Njombe.
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Ngosha kaulaLabda Lt. General Venance Mabeyo
We NabiiDuuh!!!
DuhLabda Lt. General Venance Mabeyo
Huyu nchi itanyooka.Pendekezo la wananchi :
Kanali Lubinga : yule aliesema
"Saddism is inevitable when situation is alarming.
Yaelekea wewe uko Jeshini, naona utabiri wako umekwenda sawa!Labda Lt. General Venance Mabeyo
Most likely atakuwa Mnadimu Mkuu JWTZ (CoS) wa sasa Luteni Jenerali Venance Mabeyo. Kama alivyokuwa Jenerali Mwamunyange, alikuwa Mkuu wa Usalama na Utambuzi JWTZ (CMI) na sasa ni Mnadhimu Mkuu kama alivyowahi kupitia Jenerali Mwamunyange. Tayari ana uzoefu wa mambo mbalimbali yanayohusu uongozi wa Jeshi.
Huu uzi ulijadiliwa sana hapa jamvini wengi wao ni wajeda wanataja vitu raia unaishia kutoa macho wengine walikua wa toa kumbukumbuYaelekea wewe uko Jeshini, naona utabiri wako umekwenda sawa!
Live long JFMost likely atakuwa Mnadimu Mkuu JWTZ (CoS) wa sasa Luteni Jenerali Venance Mabeyo. Kama alivyokuwa Jenerali Mwamunyange, alikuwa Mkuu wa Usalama na Utambuzi JWTZ (CMI) na sasa ni Mnadhimu Mkuu kama alivyowahi kupitia Jenerali Mwamunyange. Tayari ana uzoefu wa mambo mbalimbali yanayohusu uongozi wa Jeshi.
Usiyempenda kajaAsije akawa anahangaika kutafuta mtu wa Lake Zone na mwisho wake akaweka boya..
Mkuu wa Majeshi lazima awe mtu madhubuti..
Yule Major Gen Mwakibolwa yulee..ngoja tuone.
Venance Mabeyo JF member hata kama last seen 2014 live long, long JFAtateuwa kutoka jf
Mbona kapewa unadhimu huyu mwakibolwagaudence milanzi au masebo wanafaa sana kwanza wanajeshi wanawapenda.mwakibolwa naye anastafu mwezi huu
Usiyempenda kajaTafadhalini sana wasilete mambo ya UNGOSHA kwenye kuteua CDF kwani inaweza kuleta shida!! Huko jeshini si kuna utaratibu wa makamanda wenyewe kupendekeza majina matatu ya nani katika seniority yao angefaa kuwaongoza? Sasa kama mkulu atawapotezea na kuteua mtu wake hilo ni zigo lake mambo yakimchachia!! Kumbukeni kuwa wanajeshi huwa hawajaribiwi!!!