Nani kumrithi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mwamunyange?

Most likely atakuwa Mnadimu Mkuu JWTZ (CoS) wa sasa Luteni Jenerali Venance Mabeyo. Kama alivyokuwa Jenerali Mwamunyange, alikuwa Mkuu wa Usalama na Utambuzi JWTZ (CMI) na sasa ni Mnadhimu Mkuu kama alivyowahi kupitia Jenerali Mwamunyange. Tayari ana uzoefu wa mambo mbalimbali yanayohusu uongozi wa Jeshi.

Sababu kubwa kabisa ya kwa nini mtu lazima upite JF.
 
Most likely atakuwa Mnadimu Mkuu JWTZ (CoS) wa sasa Luteni Jenerali Venance Mabeyo. Kama alivyokuwa Jenerali Mwamunyange, alikuwa Mkuu wa Usalama na Utambuzi JWTZ (CMI) na sasa ni Mnadhimu Mkuu kama alivyowahi kupitia Jenerali Mwamunyange. Tayari ana uzoefu wa mambo mbalimbali yanayohusu uongozi wa Jeshi.
Live long JF
 
Tafadhalini sana wasilete mambo ya UNGOSHA kwenye kuteua CDF kwani inaweza kuleta shida!! Huko jeshini si kuna utaratibu wa makamanda wenyewe kupendekeza majina matatu ya nani katika seniority yao angefaa kuwaongoza? Sasa kama mkulu atawapotezea na kuteua mtu wake hilo ni zigo lake mambo yakimchachia!! Kumbukeni kuwa wanajeshi huwa hawajaribiwi!!!
Usiyempenda kaja
 
Back
Top Bottom