kuna jirani yangu huwa anavaa kitu kama lisaa mkononi anaweza kupanda awe kanali.UNataka kusema nini hapo? Mbona kuna interest yakutaka kujua sana nani mkuu wa majeshi? Watu manapenda jeshi sana inaelekea!
kuna jirani yangu huwa anavaa kitu kama lisaa mkononi anaweza kupanda awe kanali.UNataka kusema nini hapo? Mbona kuna interest yakutaka kujua sana nani mkuu wa majeshi? Watu manapenda jeshi sana inaelekea!
L.t general (***), major general (**), General (****)Major jeneral ndio mkubwa
hahahahahahahaha!kuna jirani yangu huwa anavaa kitu kama lisaa mkononi anaweza kupanda awe kanali.
Mkuu jeshini mbona wapo wengi sana, usiwe na mawazo kama yale ya miaka ile ambayo tuliaminishwa akiondoka nyerere sijui nani mwenye uwezo wa kutawalaDaaa asee sijui nani mwenye uwezo wa kubeba mkoba wa Mwamunyange
ahahahah kutoka hilo lisaa lake akipanda Sanaa ataenda officer cadet Monduli apate kanyota kamoja.......baada miezi 6 ndio atapewa nyota ya pili.....baada hapo ni paper na courses ndio atapandakuna jirani yangu huwa anavaa kitu kama lisaa mkononi anaweza kupanda awe kanali.
Oy hivi jeshi la wokovu ndo lipi ilo??ahahahah kutoka hilo lisaa lake akipanda Sanaa ataenda officer cadet Monduli apate kanyota kamoja.......baada miezi 6 ndio atapewa nyota ya pili.....baada hapo ni paper na courses ndio atapanda
Ili iweje sasa. Kwa mfano akiwa mkuu muislamu ama mpagani inasaidia nini taifa?Naona wakuu wengi waliopita ni Upande wa kanisa sasa ingependeza zaidi awamu hii aangalie pia kutoka Msikitini au Jeshini hakuna waislam wenye vyeo vikubwa??
Alishastaafu tangu 2014Zamu ya Zanzibar kipindi hiki; ni Major General Chema
ANGEKUWA JIRANI NINGEMWAMBIA ASIWEKE KAIMU HUWA WANAGOMA KUTOKAAtateuliwa "Kaimu mkuu wa majeshi" kwanza
JKT ni moja ya Kamandi nne za JWTZ..Kumbukumbu yangu kama ipo sahihi Jen Mwamu alitokaga JKT na hakuwahi kuwa JWTZ b4 au nimekosea?
Ahsante kwa taarifaAlishastaafu tangu 2014
Alishastaafu tangu 2014Hivi Luteni Gen. Meela yupo wapi? naona hii 'kitu ipo mdomon'i kwake