Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

Mnaolalamikia polisi kwa kitendo alichofanyiwa nape, niwaulize nani kawambia wale walikuwa ni polisi? kama bastola kila mtu ana uhalali wa kumiliki .....au hatujui sare za polisi nchini binafsi nitawaita watu wenye silaha, wanaweza wakawa ni wahuni tu kama kulikuwa na umuhimu wa kuwaleta polisi kama wa mwangosi tungewatambua kwa sare zao kwa maana yule mrefu mwenye kofia alipoambiwa onyesha kitambulisho akatoa silaha au mimi ndio sielewi, huku uswahilini kuna wahalifu wa kukodi kibao na polisi wenye mafunzo hawezi kufanya kile kilichotokea pole sana mzee wa goli la mkono
Una uwezo mdogo sana wa kuelekea na kuchambua mambo. Ni vema Siku nyingine kukaa kimya ukajiongezea maarifa kwa kusoma threads za wenzako badala ya kujivua nguo kiasi hiki. Ni ujinga uliopitiliza.
 
Mnaolalamikia polisi kwa kitendo alichofanyiwa nape, niwaulize nani kawambia wale walikuwa ni polisi? kama bastola kila mtu ana uhalali wa kumiliki .....au hatujui sare za polisi nchini binafsi nitawaita watu wenye silaha, wanaweza wakawa ni wahuni tu kama kulikuwa na umuhimu wa kuwaleta polisi kama wa mwangosi tungewatambua kwa sare zao kwa maana yule mrefu mwenye kofia alipoambiwa onyesha kitambulisho akatoa silaha au mimi ndio sielewi, huku uswahilini kuna wahalifu wa kukodi kibao na polisi wenye mafunzo hawezi kufanya kile kilichotokea pole sana mzee wa goli la mkono
Mkuu mbona sioni polisi hapo?
kwani lazima wavae sare wale ni askari kanzu kilaza ww
 
Askari
Onyesha kitambulisho wewe watoa bastola ukuda ule askari uchwara
 
Kama huyu ndio usalama wetu wa Taifa bathi kazi ipo. Kuulizwa kitambulisho unatoa silaha!!!!
Mbona ni haki ya Nape ama raia yeyote wa Tanzania kujua yeye kama kweli katumwa na serikali. Wanafundishiwa wapi hawa? hivi ndo wanavyolinda usalama wa Taifa eti, halafu baada ya kufukuzwa akaondoka kweli, teh!, teh!..
Std 4
 
Ndio mkome kukabidhi nchi kwa mtu mmoja watu wanashangaa sasa lakini hawakumbuki kwenye kampeni 2015 alikuwa anasema serikali ya magufuli itafanya hivi ama vile mlijua anaiokoa ccm tuu ehh kwa taarifa yenu aliichukua na nchi nzima mikononi mwake kazi mnayo kuirudisha tena kwa wananchi maana kwa sasa ni ONE MAN SHOW anaamua kuteua ama kufukuza tuu apendavyo mambo ya uchumi na njaa zenu haimuhusu
 
Ok, kwa kuwa unaonyesha hujui acha nikufahamishe kidogo.
Katika vitengo vya polisi kuna ambao hawavai uniform mfano Tax forces, Cid, unt-robbery na intelijensia na kuna hiki kikundi kingine kinachoitwa Usalama wa taifa(TISS) hvyo nadhani utakuwa umeelewa hapo.
Hivyo nasikitika kuona katika karne hii ya 21 bado kuna watu wana 'ubarshite' ndani yao, especial wewe hapo
Wakati nape anaongea alisema nataka nijue "huyu" aliyeshika bastola nani amemtuma, ikumbukwe kuwa kwanza kabisa aliomba kitambulisho neno "huyu" linamaanisha hajui "huyu" ni nani ila angekuwa askari aliyevaa sare au hata kujitambulisha kwa kawaida asingeuliza swali lile. Vitengo vya usalama viko vingi vingine huvijui kabisa ila utaratibu wa kukamatwa raia wa kawaida wote tunaujua swali liko pale pale nini kinafanya watu waamini kuwa wale jamaa waliovaa majinzi na kapelo ni polisi/askari ama walinda usalama? Angalia clip vizuri yule mwingine aliyevaa shati jeupe pia ana bastola kiunoni ni mlinzi binafsi wa nape kwa hiyo naye ni polisi/mwanausalama hebu tusaidiane hapo mkuu
 
Nape anawezaje Kuwa na mlinzi wake Binafsi. Kwani mawaziri Siku hizi wanalindwa? Kwa lipi haswa?
 
Mnaolalamikia polisi kwa kitendo alichofanyiwa nape, niwaulize nani kawambia wale walikuwa ni polisi? kama bastola kila mtu ana uhalali wa kumiliki .....au hatujui sare za polisi nchini binafsi nitawaita watu wenye silaha, wanaweza wakawa ni wahuni tu kama kulikuwa na umuhimu wa kuwaleta polisi kama wa mwangosi tungewatambua kwa sare zao kwa maana yule mrefu mwenye kofia alipoambiwa onyesha kitambulisho akatoa silaha au mimi ndio sielewi, huku uswahilini kuna wahalifu wa kukodi kibao na polisi wenye mafunzo hawezi kufanya kile kilichotokea pole sana mzee wa goli la mkono
Mkishachemsha mnakuja na vistori vya ajabu ajabu.
Aibj sana.
 
kwani lazima wavae sare wale ni askari kanzu kilaza ww
Tujenge hoja mkuu unauwezo gani wa kutofautisha plain clothes officer na raia wa kawaida kama wote wako armed? hapa tunajifunza matusi hayana nafasi unawajua watu wanaitwa mercenary tafuta maana yake unaweza kuelewa maana ya uzi wangu
Tumia akili kufikir sio makalio wewe kuna askar kanzu ambao huwaga hawavai sare!! Kama unatumia akili kufikir ndo utaelewa kwenye sakata la wauza dawa feki wema aliporipot centro alikuwa benet na mdada alie kuwa kavaa kiraia kama raia lakin yule ndo alie enda kwake pamoja na askar walio valia sare ila yeye ndo alie pewa kaz ya kumlinda......tumia akili kufikiri na sio makalio.........
 
Hii nchi ina changamoto nyingi sana! Kwa hiyo ile V8 ya PT ilikuja kuoshwa pale au!
 
Hii nchi ina changamoto nyingi sana! Kwa hiyo ile V8 ya PT ilikuja kuoshwa pale au!
Yule RPC na wengine waliovaa sare ndio niliowatambua kama polisi, narudia tena nini kinakufanya uamini wale watu wenye majinzi na kapelo walikuwa ni wanausalama?
 
Kwani lazma kuleta thread humu km huna cha kuandika soma walivyoandika wenzio..
Acheni dharau nakujiona nyinyi ndio wenye busara za kutathmini yanayo takuwa kuzungumzwa humu JF

Huyu kawasilisha mawazo yake, tena yana maana sana na mantiki kwa mwenye akili, ule ni uvamizi wa aina nyingine ambao nikujidhalilisha tu.

Hamna lolote ndio hivyo hatujuani tu humu ndani, pengine mna zero za kutosha hata vyeti hamna, mnajiti wachambuzi wa mambo, mmekalia ushabiki tu.
Kwani lazma kuleta thread humu km huna cha kuandika soma walivyoandika wenzio..
 
Lakini anachoongea ni true kua askari polisi kirahisi rahisi tu hawezi kwenda kufanya yale na pia hata hao askari kanzu mnavowaita, kwenda na pisto ni swala gumu ukizingatia yule hakufanya fujo yoyote na pia wangemuita pembeni na kuongea nao kwa jinsi ninavowafahamu polisi kwa ishu kama ile
 
Sasa kama hawakuwa askari ni wahanuni wenye silaha wanaweza kumtolea bastola Nape ! Nani yuko salama nchi hii tena
 
Back
Top Bottom