nani kapata matatizo kama haya kwenye ku apeal heslb

dionece

Member
Oct 1, 2012
5
0
amani mbona kila ninapofungua account ya helsb ilikua apeal ina nambia the index number does not exist kuna yeyote mwenye tatizo kama hili na ufumbuzi wake jamani
 
Hawa jamaa wananizingua kupita maelezo. Mimi kesho napandisha ofisini kwao wakanipe maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom