nani kama bishanga jamani?

hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!

Ha ha haaa!!! Bepari la kihaya bwana...lina mbwembwe.
 
nitonye!!!!!! ulipotelea wapi kamanda?@sweetlady jamani kwa nini ulimfanzia ndugu yangu? nitts huwezi amini yaani mara tu ulipopanda KLM kuelekea Harvard for your doctorate programme mkeo akaanza vibweka.Bila kupoteza muda nakuwekea singo ya mbaraka mwinshehe ikupe summary ya kila kitu:
shemeji shemeji mbona wazima taa?
shemeji shemeji wazima taa?
wewe Vin Diesel wazimia nini taa?
shemeji shemeji mbona wazima,
ni ushemeji gani huo wa kuzima taa?

Majungu sio mtaji useme ufanye utajirikeeeeeee
Majungu sio biashara useme uuze inunuliweeeee
Ikiwa unaona elimu ni ghali basi, basi jaribu ujinga aah!

YATAKUSHINDA!
 
hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!

Hongera zako mwaya.....umeonyesha njia Asprin nae atafuatia.......si unajua tarehe zinaruhusu eeh?
 
Last edited by a moderator:
mzee Bishanga umeniudhi maana hasira zimenipanda mpaka nahisi kubadili na avatar yangu na ya charminglady kwa mkupuo, ngoja tutoke mapumziko tuwanyamazishe wooote
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umependeza... Hivi huko pm nani anamanage kupokea na ku censor hizo pm zinazofurika za kuomba msaada? lol
On a serious note, bravo; am impressed.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga umependeza... Hivi huko pm nani anamanage kupokea na ku censor hizo pm zinazofurika za kuomba msaada? lol
On a serious note, bravo; am impressed.

Hehehehe atapasuka libichwa leo lol

Wifi hongera zako na wewe......mwambie King'asti anilipe lile deni langu ASAP manake nataka nifuate nyayo zako !
 
Last edited by a moderator:
Hivi wifi kuna lililobaki zaidi ya kumuonesha Bishanga kuwa nasisi wamo? Mie saizi kwa B' respect juu, najua kuwa kumbe hata vitendo wamo... hahaha!

Hahaahhaha wifi mimi pia kwa Bishanga nimenyoosha mikono lol......mie nikajua kazi yake kupiga majungu chit chat tu.....tehe tehe ....afu huo ni mshahara wote wa mwezi huu.....akija tumchangieni hela ya kula jamani ataua watoto lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahaahhaha wifi mimi pia kwa Bishanga nimenyoosha mikono lol......mie nikajua kazi yake kupiga majungu chit chat tu.....tehe tehe ....afu huo ni mshahara wote wa mwezi huu.....akija tumchangieni hela ya kula jamani ataua watoto lol!

Hapana wifi inabidi tufanye utafiti vizuri... ukute mwenzetu hizo ni peza za karanga tu... hahaha! Tukimchangia tusije kuta anachukua hizo pesa kama change ya kuwapa omba omba njiani. lol
 
Back
Top Bottom