nani kama bishanga jamani?

Bishanga, bishanga, bishanga!! We endelea tu uone utakavyoishiwa utaenda wapi. Wenzako tulivyokupa michango ulipokuwa unadaiwa bank sasa waja hapa kujisifia! Ngoja ruttashobolwa aje hapa akitoka chachi.

Nshakwambia sa izi kwa hela mshindani wangu ni balesa tu.
 
chezeya Bishanga weye,

kuna dada anaitwa Natalia, tumekuteua ukamkague tafadhali

Natalia,
Nimekuchagua wewe uwe wangu,
Wangu wamaisha,wa kufa na kuzikana,
Nakupenda,weewe,ua lamoyo wangu.
Sogea karibu BT kantunuku wewe
Songea mtoto nikupe raha
Njoo baby nikakutembeze ulaya.
( soutce: banana zorro)
 
Last edited by a moderator:
Nitamuambia sweetheart Paw asikupe ban hata ukipumbalaizi kiasi gani. Ila Nyani Ngabu ndo awe anapewa ban kila wknd.
deal?
Nyani Ngabuunamjua unamsikia? subiri aje kama hujahama jamvi,yule jamaa mtambo ujue,atakutoa baruti leo na wigi ulisahau jamvini,ohooooooo
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, bishanga, bishanga!! We endelea tu uone utakavyoishiwa utaenda wapi. Wenzako tulivyokupa michango ulipokuwa unadaiwa bank sasa waja hapa kujisifia! Ngoja ruttashobolwa aje hapa akitoka chachi.

Umeonekana tena mbona nilikutumia tiket uje this way ukasema upo dubai.
 
Nyani Ngabuunamjua unamsikia? subiri aje kama hujahama jamvi,yule jamaa mtambo ujue,atakutoa baruti leo na wigi ulisahau jamvini,ohooooooo

Ngoja ammke na usingizi wake wa kubeba boksi uone atakavyokuwa mpole. Mbona mie ananigwaya japo kaniibia binduki. Najiandaa kurudi na wmd, utamuona tu.
 
Back
Top Bottom