nani kama bishanga jamani?

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
hebu cheki li avatar la bishanga,dah,linanuka hela!
ole wake m chit chat yeyote nimkute karemba avatar yake ifanane na ya bishanga,na la ikitokea nitanunua u diamond member ( sh milioni kumi kwa mwaka) na atakayenifuata huko nahamia platinum member (sh milioni hamsini kwa mwaka) na mkinifuata huko basi nitakanunua kaseva kote ka jf kisha nimpe The secretary awe anasevia mistari ya mapenzi ninayomtumia kila kukicha...kudadadadadadeki bilionea la kihaya hoyeeeeeeeee!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu ni mmoja wapo walioficha zile hela kule uswis
nitonye!!!!!! ulipotelea wapi kamanda?@sweetlady jamani kwa nini ulimfanzia ndugu yangu? nitts huwezi amini yaani mara tu ulipopanda KLM kuelekea Harvard for your doctorate programme mkeo akaanza vibweka.Bila kupoteza muda nakuwekea singo ya mbaraka mwinshehe ikupe summary ya kila kitu:
shemeji shemeji mbona wazima taa?
shemeji shemeji wazima taa?
wewe Vin Diesel wazimia nini taa?
shemeji shemeji mbona wazima,
ni ushemeji gani huo wa kuzima taa?
 
Last edited by a moderator:
Hivi na hela zote bado wewe ni mdaku. Afu ulisutwaga na haujakomaga! Mweeh!
gfsonwin, njoo uone hii
nitonye!!!!!! ulipotelea wapi kamanda?@sweetlady jamani kwa nini ulimfanzia ndugu yangu? nitts huwezi amini yaani mara tu ulipopanda KLM kuelekea Harvard for your doctorate programme mkeo akaanza vibweka.Bila kupoteza muda nakuwekea singo ya mbaraka mwinshehe ikupe summary ya kila kitu:
shemeji shemeji mbona wazima taa?
shemeji shemeji wazima taa?
wewe Vin Diesel wazimia nini taa?
shemeji shemeji mbona wazima,
ni ushemeji gani huo wa kuzima taa?
 
Last edited by a moderator:
Maden ya NJE yanafanya kazi yake...

Mtasema kila kitu...oh bishanga epa,oh uswiss,oh rikmond,oh ripoti ya mkaguzi mkuu...semeni weeeeeeee usiku mtalala,si mnajua maji ya moto hayaunguzi nyumba?
 
Bishanga, bishanga, bishanga!! We endelea tu uone utakavyoishiwa utaenda wapi. Wenzako tulivyokupa michango ulipokuwa unadaiwa bank sasa waja hapa kujisifia! Ngoja ruttashobolwa aje hapa akitoka chachi.
 
Back
Top Bottom