Wtvr,uwe babu or wat!ulichozungumzia ni upuuzi m2pu,haki yake 2mpe kwa kipi?kuwa na nyumba kila mkoa?tena za gharama kubwa,kwa wiz wa baba yake,mkuu.... kubali tu kuwa mjukuu kwa mtoa mada.... na hii ni kweli kabisa ukizingatia maisha ya humu JF....check your status... Join Date: Jan 2011...check his status.. Join Date: Feb 2007........ he is old here at JF
Au kwa kufwata tabia ya baba yake ya uzinzi,ni hv,mding wake atakavyo maliza mda wake,woote wataish mafchon,coz watatwambia walikopata mali zao,na why wameua wa2 Arusha,nawachukia sn wachaw hao wa maisha ya watanzania,
Cku za hukumu znakarbia,watapata malipo yao