Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,110
Mkuu, usiskize upuuzi. UTI ni ugonjwa wa kumbukiza. Sio lack of personal hygiene. Huu ujinga hata Zuma aliwahi sema eti ili usimbukizwe ngoma oga baada ya!! Pathetic.Mkuu unajua mchaka mchaka ninapo muacha shule ni till eveng nikirud ndio tunaona bt kindly I will work on it
Ambia mwanao asitumie choo za kuchuchumaa. Ama za shimo au za kukaa. Sababu ni kua choo za kuchuchumaa hazisafishwi vzr tofauti na za kukaa. Na ukikuta mahali kuna za kukaa, jua ni wasafi!! Na zikiwa chafu, ni rahisi kuona.