Nani huwafunza wasichana kujisafisha vizuri? Wengi UTI inawasumbua

kikawaida mwanamke hautakiwi kuvaa chupi 1 kwa siku,usivae chupi mbichi,usikae kutwa nzima bila kuoga na hakikisha unapoenda kujisaidia ni pasafi kwakuwa matone ya mkojo yanaweza kujirudi ukeni
 
saa nyingine ni kutokutobiwa vizuri mie nakumbuka nilikua nakutwa na UTI naenda hospital za vichochoroni napewa dawa inarudi tena....

nikaenda Aga Khan nikafanya Urine culture nikapewa dawa nikatumia mwaka huu unaisha sijawahi kuwa na UTI... above all ni kuzingatia usafi pia
 
Good

Back
Top Bottom