Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Naitizama hali ilivyo. Nalazimika kuona kuwa kuna kila haja ya kujadili mapema, ni nani anayefaa kuwa rais wa awamu ijayo. Kwa upande wa CDM sina mashaka, hata nikiweka hawa watatu wanatosha kuwa na uzani wa kutosha
1. Dk SLAA
2. FREEMAN MBOWE
3. TUNDU LISSU. Kwa upande wa CCM, Hapa ntaweka wengi kwani nina mashaka kidogo.
1. JOHN MAGUFULI
2.EDWARD LOWASA
3. MARC MWANDOSYA.
4. BERNARD MEMBE
5. WASIRA
6. IBRAHIMU LIPUMBA (CCM B) 2. HAMAD RASHID (CCM B) hawa wa chini nimewaweka kwa makusudi katika mkumbo kutokana na msimamo wa chama chao. Kama wameridhiana visiwani, hawashindwi kuungana hata bara. Hayo ni majina ya wanasiasa wanaosikika zaidi.
Ni nani hapa anafaa kuingia magogoni awamu ijayo?