Nani anamtuma Deus Kimbamba kuvuruga nchi?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi
 
Lazima wahusika watakuwa wameshaliona hilo..soon atashughulikiwa
 
Yaani wewe umeona hilo tu ndio uchochezi ila wanalofanya chama chako CCM ndio kinajenga nchi eeh!!?
 
Mama kilango malecela ndio double agent.
Jana kafanya upumbavu wa hali ya juu sana. Wakowapi wale waliokuwa wanamwita mpiganaji?
Ccm inakufa soon.
Maandamano yako palepale, iteni polisi, magereza, usalama wa taifa, jeshi, mgambo, askari wa uhamiaji, na walinzi wa makampuni binafsi kamwe hamuwezi kuidhibiti nguvu ya umma
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

Tutapambana iwe kwa uchawi, marungu, mishale, maneno, mawe haki yetu aliyo ikalia mkoloni mweusi aachie mpaka kieleweke haijalishi ni lini na wapi ni popote na kwa wakati wowote, kaeni mkao wa kuliwa wakoloni weusi mapinduzi ya fikra yanakuja, mmetunyonya na kututesa vya kutosha
 
Utapambana na nani wakati mtu mmoja anavuruga nchi

Natoa Rai kwa MWEMA amchughulikie kwa kuchochea
 
Haiwezekani kikundi kidogo cha watawala kikalia uhuru wa fikra watu milioni 45
Hata hao watoto wa Mwema wengi wao wamechoka, wamechoka kulala kwenda mabanda ya mabati, watakapo weka siraha chini ndipo mtakapo tia akili someni alama za nyakti
 
Wewe ni mke wa nani au mumeo ndokakutuma ulete hiyo topic yako iliyooza naomba uitoe haraka sana inanuka
 
Stick kwenye point usilete mambo ya udini

kwanini mtu mmoja anachochea watu kuhasi nchi?

Just because one person opened his mouth and said does not mean he is alone. Unataka kutuambia kuwa yeye mwenyewe ndio kapanga hayo maandamano? mtakamata wangapi?

"Yana mwisho haya"
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

hivi hao polisi mshahara wao wa mwezi uliopita wameingiziwa?
 
Kwa wenye fikra tegemezi Kibamba anaweza kuvikwa sifa zote mbaya, ukweli ni kwamba Serikali imekosea na haiwezekani wananchi wote wakapaza sauti na kuongea neno moja kwa pamoja. Kibamba anawasaidia wananchi hao kupaza sauti na kwa hali hiyo anaonesha njia ya kupita ili sauti isikike na kuwakera watawala. Tutafika tu, lakini tuamue kujitolea kwa dhati kudai haki na tuache unafiki.
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

Ndo shida ya Watanzania hii, mtu unapokuwa mjasiri kuzungumzia maslahi ya UMMA na upo tayari kiutekelezaji utashangaa watu wanaanza kuhojiwa, Huyu anatumiwa na nani? Kwani vipi nyie? mtu afanye nini ndo muone anayafanya kwa dhamira yake na sio kutumiwa?
NYIE KWA VILE NI VIBARAKA BASI MNAHISI KILA MJASIRI NI KIBARAKA, LO!
Hebu acheni hizo bwana, nyie ndo mnatumiwa na kina nani hebu sema hapa fasta!
 
Back
Top Bottom