Nani anamtuma Deus Kimbamba kuvuruga nchi?

Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

Umeshalipiwa na cameroun? Hicho kichwa chako kinawaza kishoga kishoga tu,una akili timamu wewe? Acha undekere.nyambafu
 
jana katika bbc sa 12.30 jion nilimsikikiza deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

kwanini huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

na wewe nani anakutumia kuongea hayo? Usije ukawa wewe ndio unatumiwa
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi
Na wewe umetumwa na nani?
 
na wewe nani kakutuma kuleta hii thread!?
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

Nadhani Nchi unayoizungumzia wewe ni ya Chumbani kwako na mumeo. Pole sana kwa kuwa na fikra finyu kama hizo. Kwa taarifa yako Nchi inayozungumzwa hapa ni Taifa kubwa la Watanzania zaidi ya milioni 40. Amka usingizini acha kuwaza mambo ya chumbani saa hizi, utakuta mwana si wako.
 
huyu mwanzisha thrd ni mbwiga mbwiga, wapare watu kama hawa wanawaita kirundu.
 
Hakuna ujinga mkubwa kama ule wa kukubali kuolewa na mafisadi ati kwa sababu ya njaa zako!
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi
Siyo siri kupeng'e una vutia, kuna kipindi nilijaribu kukuweka kwenye Ignore list lakini nilipo kumbuka sura na maumbile yako inaniwia vigumu.
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi
Una mwandiko kama wa Malaria sugu
 
Mama kilango malecela ndio double agent.
Jana kafanya upumbavu wa hali ya juu sana. Wakowapi wale waliokuwa wanamwita mpiganaji?
Ccm inakufa soon.
Maandamano yako palepale, iteni polisi, magereza, usalama wa taifa, jeshi, mgambo, askari wa uhamiaji, na walinzi wa makampuni binafsi kamwe hamuwezi kuidhibiti nguvu ya umma
Nasikia kuna watu walimstua kwamba kitendo chake cha kupinga pinga mambo kilisababisha akose hata unaibu waziri, badirika mama humuoni mwenzako Celina Kombani anajilia kuku tartiiibu akiambiwa aseme Katiba mpya haitakiwi anafanya hivyo bila kusita
 
Deus amepata nafasi yakusema na kusikika na watu wengi zaidi na ameonyesha uzalendo. Tumeone tukiibiwa kwa mikataba yakihuni tena ya aibu kwa taaluma za walio sigh. Niwakati wakudai katiba itakayoweka adhabu kali nikimaanisha kali ili wezi wasiendelee kuiba au wapunguze makali. hatutaacha kuimba wimbo wa ufisadi, uchakachuaji, matumizi makubwa ya serikali na mengineyo bila kuweka katiba yenye meno.
Go ahead Deus, hata usipopata ushirikiano leo, your doing what is right in for you country.
 
Mdharau mwiba.........., Hata Mbuyu ulianza kama................., Dalili ya mvua ni..............Ruhusu malalamiko ili yakusaidie kujirekebisha kuliko kuyazuia moja kwa moja. Kwa mtu mwenye busara, anapaswa kushulikia swala kama hili kwa busara kubwa na sio kwa dharau. Unapomsikia Kibamba anatoa malalamiko yake kama hayo, ni kwa saababu ana nafasi ya kuyatolea, lakini katika hali ya kawaida kuna wengine ambao hawasema kwa kuwa hawana nafasi kama hiyo.
 
Back
Top Bottom