Nani anamtuma Deus Kimbamba kuvuruga nchi?

Who is Deus kibamba? nani ana Historia yake?
Deus Kibamba ni mpuuzi kama wapuuzi wengine na ni mganga njaa tu anaeishi kwa vinvuli vya NGO. huyu na Agustino Mrema wana NGO yao wanajiita mabalozi wa Amani hawa watu wana njaa mpaka kwenye makalio.
Kwenye swala la katiba mpya tupo pamoja ila wanaharakati ninaowaamini mimi ni wale wa viwango vya Ananilea Nkya na watu kama Mzee Mkinga na sio huyu mpuuzi njaa kali Deus Kibamba.
Tuwe macho katika hizi harakati zetu kwani kwenye huu msafara wa mamba na kenge wamo. Deus Kibamba anayo bei, maana yake ananunulika.
 
Unataka kutuambia kupinga hicho kinachotendeka kwenye mswada ni kuleta vurugu? Yale yaliyotokea Mbeya , Arusha, UDSM, na hata tabora ni Kibamba kayaleta?. Kwa taarifa yako Watanzania wa sasa huwezi kuwadanganya kwa lolote lile kuhusu msakabali wa nchi yao. Tatizo magamba hamtaki kuelewa kwamba mabadiliko yanakuja haraka, fungueni macho muangaze huku na kule, Tanzania ya sasa si ile ya miaka 47.
 
Naomba msimshambulie MS without knowing how, sikubaliani naye kwa content ya habari yake, lakini nakubaliana nae kwa 100% never trust double Agent huyu Deus Kibamba ni Traitor, i don't trust this guy over my dead body.
 
Deus Kibamba ni mpuuzi kama wapuuzi wengine na ni mganga njaa tu anaeishi kwa vinvuli vya NGO. huyu na Agustino Mrema wana NGO yao wanajiita mabalozi wa Amani hawa watu wana njaa mpaka kwenye makalio.
Kwenye swala la katiba mpya tupo pamoja ila wanaharakati ninaowaamini mimi ni wale wa viwango vya Ananilea Nkya na watu kama Mzee Mkinga na sio huyu mpuuzi njaa kali Deus Kibamba.
Tuwe macho katika hizi harakati zetu kwani kwenye huu msafara wa mamba na kenge wamo. Deus Kibamba anayo bei, maana yake ananunulika.

Hapo kwenye Red MAIN POINT WATCH OUT
 
wananchi tumemtuma kilaza wewe! zama za chama kushika hatamu zimekufa muda mrefu lazima tuandamane
 
wananchi tumemtuma kilaza wewe! zama za chama kushika hatamu zimekufa muda mrefu lazima tuandamane
Ni wananchi gani hao wanaoweza kumtuma Double Agent! think twice man, sio kila mtu anaehubiri mabadiliko ukadhani yupo upande wa wapenda haki. huyu mimi nilishamdharau siku nyingi tu kwa kukubali kuwa mamluki.
 
tatizo lake ameona maandamano ya nchi za kaskazini akadhani naye atafanya hapa Tanzania. ATAKUNG'UTWA AJARIBU
 
Jana katika BBC sa 12.30 jion nilimsikikiza Deus akisema wametangaza
maandamano ya nchi nzima kupinga uwasilishaji wa mswada wa marekebisho ya katiba
akasema watu wataandamana kutoka mkoa yote nchini kuelekea Dar es salaam
ambapo watakaa sehemu moja kiwanjani mpaka serikali itakpokubali

Kwanini Huyu jamaa anataka kuvuruga nchi?

Mytake

Police wamshughulikie kwa kauli zake za uchochezi

We ni mata...mkubwa unafurahia tabu za wananchi kwakuwa we unakula kwa ufisadi ndo mana unahofu tu subiri uone waliochoshwa na mfumo watakavyoitikia wewe ulale ukisikia kimenuka
 
Acheni kufuata mkumbo,Kwani hata kama mswaada umesomwa mara ya piri hy haki ya kutoa maoni mbona bado ipo? Au mnataka nn ninyi watanzania? Mmelewa mara hii kusikia neno demokrasia?,, hao wakina kibamba hawana jema katika nchi hii na kama mnajifanya wanawatetea cku watakapofanikisha mtawaona watakavyokuwa wanaishi kifalme hata mawazo yenu na matatizo yenu hayatasikilizwa tena,, wameshindwa kutetea hoja zao wanahamasisha wananchi kuandamana,, hata mataifa yatashangaa kuwa tunaandamana kisa mswaada umesomwa mara ya pili.. huu ni umaskini wa mawazo kbs.
 
Back
Top Bottom