Nani anamkumbuka Mzee Majambo?

Da hata mimi umenikumbusha mbali sana kijana mwenzangu, yani alikuwa kiboko wa vikojozi si mchezo, watoto ukiwambia leo anakuja usiku hawajikojolei.
 
Murukulazo

alikuwa anavaa njuga mguuni na alaikuwa anauza Karanga huku akiimba hasa mambo ya siasa, kweli ilikuwa kiboko ya watoto vikojozi, watu wazima walikuwa wanasema eti alikuwa mpelelezi,
 
Last edited by a moderator:
alikuwa anavaa njuga mguuni na alaikuwa anauza Karanga huku akiimba hasa mambo ya siasa, kweli ilikuwa kiboko ya watoto vikojozi, watu wazima walikuwa wanasema eti alikuwa mpelelezi,

Dah kweli mkuu,nakumbuka hizo tuhuma ila zamani unajua hata vichaa walikuwa wanasema na usalama wa taifa ila yule mzee ilikuwa balaa akipita na zile njuga zake alikuwa anapiga piga miguu chini......
 
Murukulazo

Mkuu umenikumbusha mbali sana Hahaha sana sana sisi tuliyokulia uswaZi tu namwambia
Ila wale wa kishua watoto wa getini sijui
Kama watamjua mzee magambo
 
Last edited by a moderator:
Huyo mzee Majambo wako.........alikuwepo Tanzania nzima akiuza karanga.........?.........

Huyo mzee Majambo utadhani kila mtu anamjua kana kwamba alikuwa akifika Arusha na Bukoba.

Bubu Karanga.PNG
Mimi namkumbuka BUBU muuza karanga maarufu Mji wa Bukoba na viunga vyake vyote.Alikuwa aki-supply ofisi zote za umma na binafsi na alipendwa sana. Wale wa umri wangu waliokulia hakuna asiyemfahamu.

Mungu ampumzishe kwa Aman.
 
Murukulazo

namkumbuka huyu mzee alikuwa anauza karanga mitaa ya mwananyamala na ilala, mavazi yake yalikuwa yakitisha watoto. karanga zake zilikuwa nzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Murukulazo

Asee! Umenikumbusha mbaaali. Wakati huo nlikuwa shule ya vidudu tulikuwa tunaishi kinondoni mtaa wa ufipa. Akipita nlikuwa najificha ndani kwakuwa bb alikuwa anataka nimuone bas alinibeba ili nami nikashangae
 
Last edited by a moderator:
Huyo mzee Majambo utadhani kila mtu anamjua kana kwamba alikuwa akifika Arusha na Bukoba.

View attachment 258961
Mimi namkumbuka BUBU muuza karanga maarufu Mji wa Bukoba na viunga vyake vyote.Alikuwa aki-supply ofisi zote za umma na binafsi na alipendwa sana. Wale wa umri wangu waliokulia hakuna asiyemfahamu.

Mungu ampumzishe kwa Aman.

kama humjui wee pita tu......waliokulia dar miaka tisini kurudi nyuma acha wajikumbushe......!
 
Huyo mzee Majambo wako.........alikuwepo Tanzania nzima akiuza karanga.........?.........
Preta hii sio yenu wa mikoani au wakuja.....hii yetu watoto wa dar tuliozaliwa uswazi! majambo noma,nilikuwa nikimsikia anakuja lazima nikajifiche uvungu wa kitanda!
 
Last edited by a moderator:
Preta hii sio yenu wa mikoani au wakuja.....hii yetu watoto wa dar tuliozaliwa uswazi! majambo noma,nilikuwa nikimsikia anakuja lazima nikajifiche uvungu wa kitanda!
Hahaha kwa wale waliyokulia magetini, obay, masaki, mikocheni hawajui khsu mzee hyu ila kwa sisi tuliyokulia uswazi kinondoni shamba tunampata vilivyopita hehehe
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha..yule mzee hata kama ulikuwa kikojozi lazima uache,aisee alikuwa ananipa nightmares mbaya sana,sana sana alikuwa kinondoni ndio alikuwa anapita mara kwa mara......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom