trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
- Thread starter
- #21
Wana kazi kubwa si kitoto. Kwanza mchujo itabidi uwe makini. Juma N. hauziki kirahisi kwa wananchi.. Tena ubaya wenyewe hauziki hata kwa wanachama na viongozi wa jumuiya mbalimbali wa chama chake.. Wanaokasirika vibaya wanapigia kura upinzani. Kiukweli kuvunja makundi baada ya uchaguzi ni kazi ngumu asikudanganye mtu!kiukweli ccm wana kazi 2015