Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

we mpungati kajifanyie check-up ya akili,hvi kwli tuzungumzie urais ccm badala ya masuala yanayotukabiri,looh unatia aibu,
 
Mwamba wa kaskazini- lowasa
kiboko ya nape- lowasa
kiboko ya ccm-lowasa
ticket ya cdm to magogoni- lowasa

na hakuna wakumping huyu ndani ya ccm.
 
Lusinde.
Akishinda, PM wake atakuwa Wassira, Mnajimu wa bunge Mwigullu
 
Vita ya makundi inaitafuna CCM. Je nani atakuwa mgombea wao 2015

Hii mada inajirudia kila siku,vipo vitu vingine muhimu vya kujadili kila siku uraisi tu halafu raisi wewe unaona atatoka ccm milele?
 
Capt. John Damian Komba ndiye RAIS kupitia CCM...hamtaki kuwa wanamuziki!!
 
[h=2]kikwete ni mnafiki no 1[/h]
Tangu tupate maraisi hatujawahi kuwa na rais mnafiki, mzembe,dhaifu na ndumila kuwili kama kikwete uendeshaji serikali yake umejaa fitina dhihaka na upuuzi mwingi anyemshabikia huyu naomba aweke haya maelezo kwa kuprint au kucopy na baa ya 2015 mtaona kwa nini tz imefika hapa ilipo ni sababu ya huyu mr dhaifu hakuna alichowahi kuongoza kikafanikiwa zaidi ya kutengeneza makundi ndani ya chama na nchini ili awe madarakani kirahisi mungu ibariki tanzania kwa haraka sana tuondokane na huyu mnafiki
 
kikwete ni mnafiki no 1

Chuki binafsi
 
Hakuna rais toka ccm 2015, hilo utambue tunataka mabadiliko. Kama huna hoja kaa kimya.
 
Back
Top Bottom