Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Rais kutoka upinzani hata akiwa jiwe,kibuyu,fisadi,takataka, 2015 will be our "time for change!" CHANGES ARE INEVITABLE!!!!!!! WE NEED NEW TANZANIA WITH NEW CONSTITUTION,NEW PEOPLE,NEW POLITICS,VISION,MISSION,NEW LEADERS WITH NEW THINKING VISIONARY NOT REVOLUTIONARY IDEAS WHO CAN LEAD US TO GOOD FUTURE AND TO MOVE THIS COUNTRY INTO NEXT CENTURY WITH POSSIBILITIES OF PLENTY,WEALTHY NOT IMPOSSIBLES TO SMALL THINGS LIKE PAYING GOOD SALARIES TO ITS SERVANTS .:israel:
 
Nyie tabirini weee, but hiyo kutabiri kwenu mwaka huu rais wa Chama Cha Mazuzu, anatakiwa atokee visiwan kwa mujibu wa kila njia,,, sasa hapo akili kichwan mwenu mutabir vizur 2
 
We ibange, ibangi kweli yaani aibu yote ile ilomkumba ya EPA na RICHMOND dhan CCM waendelee kumueka 2, c kwa7bu hawawezi ila khofu yao CHADEMA, watakua washapata bonge la point, na km watamuweka LOWASA Ni udhaifu pia kwa CCM, Ila kwa upendeleo mwaka 2015; mgombea ni Mwanamke, nyie hamjajiuliza et kwanini A ROSE MIGIRO karud Tanzania, tena kwakupenda, jiulizen je! Amechoka pesa za UN aU Anataka kujiongezea sifa na umaaruf kwa kuwa Rais wa Tanzani?????
 
Nyie tabirini weee, but hiyo kutabiri kwenu mwaka huu rais wa Chama Cha Mazuzu, anatakiwa atokee visiwan kwa mujibu wa kila njia,,, sasa hapo akili kichwan mwenu mutabir vizur 2

Natabiri miongoni mwa hawa watatu

1. Asha rose Migiro
2. Benard Membe
3. Amani Abeid Karume
 
Mkimuweka Mh Pombe Maguful kura zenu zitaongezeka kidogo, lakin nadhan atabak kuwa mgombea tu, Urais kutoka kijan umefika mwisho kabisa na nadhan 2015 inaweza isifika mana mambo yap tyt kwa Jamaa yetu wa Disko vumbi enz zake..!
 
Back
Top Bottom