Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.
 
kwa sasa hivi ni vigumu mno kujua nani hasa awe raisi 2015 manake itategemea na upepo wa wakati huo na ukomavu wa vyama hasa vya upinzani, kwa sasa tunaconcetrate ya huyu bwana kama tumpe tena 2010 au tumpunzishe.
 
heeeeeeee.....yaani jk huyuhuyu anategemeawa aendelee kuongoza? mbona hata wanaccm wenzake hawamtaki kwa kuwa hana uwezo wa kiuongozi aliouhubiri hata baba wa taifa? are we so brind like this to the extent that we can not even see open things.................are we still not fad up with this guy called jk?
oooooooppsaiiiiiiiiiii..................this is very terrible
 
Jile79 na Wana JF,

Binafsi napenda sana tupate Rais mwingine 2010. lakini jee itawezekana?
 
kwa sasa hivi ni vigumu mno kujua nani hasa awe raisi 2015 manake itategemea na upepo wa wakati huo na ukomavu wa vyama hasa vya upinzani, kwa sasa tunaconcetrate ya huyu bwana kama tumpe tena 2010 au tumpunzishe.

Bora tukubali tu ukweli kwamba JK ataendelea hadi ngwe yake ya pili imalizike maana hali halisi inadhihirisha kwamba hakuna anayeweza kumpiku kwa wakati huu ambapo hakuna dalili ya kupata mpinzani wa kumpiku. Pia hali halisi ni kwamba wananchi bado wataweza kushawishika kumchagua tena kwa sababu si wengi wanaoelewa mapungufu ya uongozi yanayopigiwa kelele na wachache wenye uelewa huo.

2015 twahitaji vijana wafanye mapinduzi ya dhati ya uongozi. Wapo vijana wa kutosha kabisa wenye uzalendo wa kuweza kuendesha nchi kwa ufanisi. Wengine wamo humu JF!
 
kwa sasa hivi ni vigumu mno kujua nani hasa awe raisi 2015 manake itategemea na upepo wa wakati huo na ukomavu wa vyama hasa vya upinzani, kwa sasa tunaconcetrate ya huyu bwana kama tumpe tena 2010 au tumpunzishe.
kurudi tena madarakani itategemea na ujasiri wa Kikwete na kamati kuu ya ccm itakavyowavumilia makamanda wa UFISADI na wale wote wanaompinga JK waziwazi, maana hakuta kua tena na uvumilivu kama ule wakina THOMAS nyimbo .
akirogwa tu awang'oe wanaompinga kimsimamo na mtizamo CCM itakua imekwisha, sawa na tusubiri tuone.
 
mpaka sasa hakuna naefaa coz sioni wakumuamini wote kwangu naona kama mafisadi tu, labda wakati huo ukifika ila kwa sasa hakuna kitu..
 
Jile79 na Wana JF,

Binafsi napenda sana tupate Rais mwingine 2010. lakini jee itawezekana?
kwa sasa niseme kuwa haiwezekani.................kama mambo yenyewe ndio haya ya chadema zitto................chadem kafulila basi imekula kwetu na tumefulia kwelui tupende tusipende.........tuchague tusichague......................jk atapita japo inaniuma sana kukili haya....................
 
2015 twahitaji vijana wafanye mapinduzi ya dhati ya uongozi. Wapo vijana wa kutosha kabisa wenye uzalendo wa kuweza kuendesha nchi kwa ufanisi. Wengine wamo humu JF!

Nina wasiwasi na hawa vijana, wengi wao wanaonekana wazalendo ila tatizo kubwa lililopo ni kununuliwa..(njaa)..wengi wao wametoka koo maskini mno wakiona Tshs 2billions kwa nini wasiwatose watanganyika? Kumbuka Pesa zilimtoa roho hata bwana Yesu. Mafisadi wana nguvu za ajabu mno ki finance na ndiyo siraha kuu wanayoitumia kuongoza serikali yetu kwa sasa. eg Kagoda.

As of now binafsi bado sioni hata kijana mmoja ambaye tunawza kuanza kumwandaa kuwa candidate wa urais 2015.

Hebu nitajie walau wawili ulionao tuwajadili hapa Mkuu
 
kurudi tena madarakani itategemea na ujasiri wa Kikwete na kamati kuu ya ccm itakavyowavumilia makamanda wa UFISADI na wale wote wanaompinga JK waziwazi, maana hakuta kua tena na uvumilivu kama ule wakina THOMAS nyimbo .
akirogwa tu awang'oe wanaompinga kimsimamo na mtizamo CCM itakua imekwisha, sawa na tusubiri tuone.

Kwenye Kamati kuu kuna wajumbe wangapi? wangapi ni wasafi na wangapi ni wachafu? pata jibu then niambie nini kitashindikana kupitisha jina la JK mara ya pili?
 
WanaJF,

Amani kwenu wote.
Naomba tujiulize hilo swali hapo juu na kutafakari kwa kina. Kwa jinsi hali ya mambo ilivyo kuna uwezekano mkubwa kuwa JK ataendelea kuongoza mpaka 2015 pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake.

MAJIBU:JK ataendelea kuongoza -ATAONGOZA MPAKA 2015 ni sahihi.
pamoja na mapungufu makubwa katika uongozi wake-kama yepi?
-huoni barabara,vyuo,shule,mahospitali,zahanati,kilimo??/amka usi crame.

Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?-Edward Ngoyai Lowassa.
 
Kwenye Kamati kuu kuna wajumbe wangapi? wangapi ni wasafi na wangapi ni wachafu? pata jibu then niambie nini kitashindikana kupitisha jina la JK mara ya pili?
Kua kwao wasafi ama wachafu ni ngumu kuthibitisha ila wengi hawaungi mkono kivitendo vita dhidi ya ufisadi, na wanawaunga mkono mafisadi.
ila kamati kuu itapitisha jina la JK BILA SHAKA.
lakini hali ya utulivu wa chama itaamua kama CCM ishinde ama iporomoke, kama watarudia kosa la kuwaangamiz kisiasa wanaompinga JK KAMA KINA THOMAS NYIMBO walivyotendwa, wakati umebadirika sana, sioni mvumilivu pale
 
Tuwape wanajeshi tu....maana wengine woote hawafai...kabisa mtandao umewamezaaaa
 
Socrates was right in pioneering the below line of thinking

Wanaofaa, hawajulikani
Wanaojulikana, hawafai
Wasioonekana, wana fani
Wanaoonekana, wanajidai
Wanaoonekana, wanaghani
Wasioonekana, wananidai
Maana ili kujulikana, shurti ubani
Waliokataa ubani, wasemwa bila utani

Mtu mwenye sifa nzuri kuliko wote kuwa rais wa Tanzania ni katibu tarafa mstaafu fulani aliyejichokea kutokana na kupigwa vita na mafisadi koko, sasa hivi hata kazi hana anajilimia ki subsistence tu.Lakini ndiye anayeyaelewa matatizo ya Mtanzania vizuri sana na mwenye moto unaotakiwa.

Hujawahi kumsikia kwa kuwa hajawahi hata kuwa mbunge, achilia mbali member wa NEC.

Tatizo ni kumpata, kumpitisha kwa wananchi, kuzikubalisha party machinery, kumnadi etc.

He has a snowballs chance in hell of being the next president.
 
Back
Top Bottom