Nani anachapisha pesa ya Tanzania?

Kuna kampuni nyingi au kadhaa duniani hufanya hiyo kazi.
Ili pesa uitumie inapitia hatua kama 3.
Tanzania tunacho kiwanda cha kuweka alama muhimu na kuziingiza sokoni.
Ni siri kidogo
 
Kuna uzi mmoja humu jukwaani unafanana na huu Kuna jamaa alitoa ufafanuzi zaidi kuhusu maswali Kama yako unayojiuliza.....jamaa alitema nondo kweli yaani
 
Kuna kampuni nyingi au kadhaa duniani hufanya hiyo kazi.
Ili pesa uitumie inapitia hatua kama 3.
Tanzania tunacho kiwanda cha kuweka alama muhimu na kuziingiza sokoni.
Ni siri kidogo
Kiongozi nifanyie mpango wa kibarua kweny hiko kiwanda japo niwe porter cum hapo kiwandani
 
sijasoma mambo ya uchumi lakini hichi ndicho ninachokielewa
kimsingi ukiwa na hela nyingi, hutafanya kazi tena

mkulima akiwa na hela, hatolima maana anachokitafuta tayari anacho, au alime auze bei juu zaidi sana
Mwisho wa siku uzalishaji utakuwa uko chini, na uhaba wa vitu kutokea; ndipo mkate mmoja utafikia kuuzwa kwa laki 5 n.k
 
Back
Top Bottom