Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Hii ni hoja dhaifu kuijadili, jipange uje na hoja nyingine.
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

kapewa na kichwa chako
 
mtatumia kila chombo cha habari,kila njama lakini tutapambana hadi hii nchi ikombolewe kutoka kwa wadhaifu
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Baba yako ndio waliompa Uchungaji sasa unalalamika nini?
 
Msigwa mbunge wangu kanifurahisha sana, hatukuchagua mbunge ili aende kutetea udhaifu bungeni.

Safi sana mkuu,msigwa mbunge wangu,namkubali!...magamba bwana mnamatatizo!msije nisababishia ban bure hapa!hivi hizo nidham zinaonekana kwa cdm 2,na c ccm?mbona kina komba,silinde hamwasemi?hebu waacheni cdm wapo sahihi,na itafahamika 2!subirini
 
Mkuu tume ya katiba. Nisingependa kutumia ushabiki wa vyama hapa.

Hata ukimchukua mtoto wa std 3 kama kayumba, atakwambia tu kuwa Bunge la sasa halina nidhamu mwanzo mwisho. watu wakisema mnataka kuwatoa nje. Jana Lissu alisema SHAME TO THIS BUNGE. leo Mnyika kasema hili bunge limejaa uzembe. Ila wengine hawalikubali hili swala.

Sasa jana Nchemba kawatukana wapinzani, watu wanaomba mwongozo yule Mzee Mabumba anajifanya hasikii
Komba anatukana watu, Mzee Mabumba anavaa miwani tu pale mbele
Leo Kibajaj anaongea kashfa, Ndugai anacheka tu. watu wanaomba miongozo ila kwa kuwa inagusa maslahi yake wala hasemi anauchuna tu.

Mnyika kawaambia kuwa wabunge ni wazembe, Ndugai kamtoa nje.

Sasa unadhani watu hata kama ungekuwa mlokole, bado utaendelea kukaa kimya?

Kiti cha spika kilipoteza hadhi yake pale Makamba na Lowasa walipoamua usiku eti spika lazima awe mwanamke.

Subiri kidogo, mpaka 2015, ngumi zitaruka mle ndani ndo utajua mabunge huwa yanakuwaje huko nje
 
Ulitaka Msigwa alale fofofo kama wabunge wako wa CCM, wanaopenda kuwanyonya na kudhulumu maskin? tunahitaji mbunge kama Msigwa ndio maana tulimpa kura, sio hao mafisadi wako wakaa kimya bungeni as if kila kitu kinachofanywa na CCM ni kitakatifu!
 
Umekua mmoja wa wale wanaomtukana Mwalimu Nyerere. Lakini naamini ungekua kati ya watu wa kumshukuru. Kwasababu Tanzania ya sasa hatuwezi fahamu nani anatoka kizazi cha watumwa,manamba ktk mashamba ya wazungu na wahindi ama makabila/koo ambayo hayajawahi dhalilishwa! Namlaumu Mwalimu Nyerere kuwapigania watu kama wewe. Huna shukrani kama kizazi cha watumwa!
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?
 
Infact hakuwa na ubavu wa kupata ubunge kule Iringa. Kilichotokea ni kwamba alipata kura za chuki baada ya CCM kumteua Mama Mbega ambaye hakuwa chaguo la wana CCM wa Iringa. Chaguo lao lilikuwa Mwakalebela ambaye alipata nafasi ya kwanza kwenye kura za maoni. Kama akiendelea hivi...sijui....!!!!

..c mlizoea kuchakachua!Mungu akawapiga kibao,akampa msigwa....kwa hiyo kwa akili yako unafikiri iringa watampa mwakalebela 015?umechelewa kweli ww,ir ya ss c o ile!one mistake one goal!msigwa yupo rigth na pale c kanisani anatetea maslahi yetu wana iringa!
 
Infact hakuwa na ubavu wa kupata ubunge kule Iringa. Kilichotokea ni kwamba alipata kura za chuki baada ya CCM kumteua Mama Mbega ambaye hakuwa chaguo la wana CCM wa Iringa. Chaguo lao lilikuwa Mwakalebela ambaye alipata nafasi ya kwanza kwenye kura za maoni. Kama akiendelea hivi...sijui....!!!!

..c mlizoea kuchakachua!Mungu akawapiga kibao,akampa msigwa....kwa hiyo kwa akili yako unafikiri iringa tutampa mwakalebela 015?umechelewa kweli ww,ir ya ss c o ile!one mistake one goal!msigwa yupo rigth na pale c kanisani anatetea maslahi yetu wana iringa!
 
Mkuu tume ya katiba. Nisingependa kutumia ushabiki wa vyama hapa.

Hata ukimchukua mtoto wa std 3 kama kayumba, atakwambia tu kuwa Bunge la sasa halina nidhamu mwanzo mwisho. watu wakisema mnataka kuwatoa nje. Jana Lissu alisema SHAME TO THIS BUNGE. leo Mnyika kasema hili bunge limejaa uzembe. Ila wengine hawalikubali hili swala.

Sasa jana Nchemba kawatukana wapinzani, watu wanaomba mwongozo yule Mzee Mabumba anajifanya hasikii
Komba anatukana watu, Mzee Mabumba anavaa miwani tu pale mbele
Leo Kibajaj anaongea kashfa, Ndugai anacheka tu. watu wanaomba miongozo ila kwa kuwa inagusa maslahi yake wala hasemi anauchuna tu.

Mnyika kawaambia kuwa wabunge ni wazembe, Ndugai kamtoa nje.

Sasa unadhani watu hata kama ungekuwa mlokole, bado utaendelea kukaa kimya?

Kiti cha spika kilipoteza hadhi yake pale Makamba na Lowasa walipoamua usiku eti spika lazima awe mwanamke.

Subiri kidogo, mpaka 2015, ngumi zitaruka mle ndani ndo utajua mabunge huwa yanakuwaje huko nje

Asante kwa kuliona na kulifafanua hilo,maana magamba yanaona upinzani tu ndo unakosea!nashame on u ccm!
 
Wadau,

Leo bungeni Naibu spika, ametoa malalamiko yake kwa wananchi wa iringa hususani wa jimbo la iringa mjini juu ya NIDHAMU mbovu anayoionyesha mbunge wao msingwa.

Swali langu ni je, ni nani kampa msigwa UCHUNGAJI, mbona matendo yake hayafanani na hiyo title yake?

Kuwa na akili ndogo sio kosa lako, lakini kutumia akili yako ndogo vibaya hilo ndo kosa lako, nani alikwambia bungeni kuna mchungaji??? humo kuna wabunge. Kufanya jambo lilelile kwa namna ileile na kutegemea matokeo tofauti ni ujinga, ulitaka asemeje??? huwezi ukatumia akili ileile kutatua tatizo lililosababishwa na akili ileile, is a matter of principle, hukuelewa hapo pia??? sasa nakuongeza moja kuwa huwezi kusukuma gari kwenye matope ukiwa ndani ya gari hilo hilo.

Ni facts of life, you like it or not, CCM wametufikisha hapo tulipo, halafu kila wakiambiwa makosa yao wanakuwa wajuaji (Komba type, Mwigulu type, Lusinde type, Wassira type etc) huku hawana mbinu mpya, akili mpya wala nguvu mpya hata hiyo ari hakuna. Badala ya kuomba kukaa pembeni waone wenzao watarekebisha nini, hawataki na hapo ndo wananchi tunaona CCM ni ya wapumbavu wasiofundishika, sifa moja ya wajinga ni uwezo wao kufundishika kinyume na wapumbavu. Umeshindwa kitu for 50years huhitaji kuambiwa umeshindwa you can see it, you know it sasa kigugumizi cha kuwapisha na watanzania wengine kuhangaika na yanayokushinda for 50years kinatoka wapi??? kama sio ulimbukeni???
 
tatizo sio uchungaji wa Msingwa bali udhaifu wa naibu Speaker Ndugai. Ndugai ni mshabiki na sio naibu speaker, wakati anachangia Lusinde kuna wakati alitaka arudie kusema budget ya Zitto haizungumzii elimu kama sera ya Chadema, ila tukumbuke the action can bring repercusssion. ​Ndugai analeta ushabiki na wengine wanapinga ushabiki wake akiwemo mchungaji Msigwa
 
Kuwa na akili ndogo sio kosa lako, lakini kutumia akili yako ndogo vibaya hilo ndo kosa lako, nani alikwambia bungeni kuna mchungaji??? humo kuna wabunge. Kufanya jambo lilelile kwa namna ileile na kutegemea matokeo tofauti ni ujinga, ulitaka asemeje??? huwezi ukatumia akili ileile kutatua tatizo lililosababishwa na akili ileile, is a matter of principle, hukuelewa hapo pia??? sasa nakuongeza moja kuwa huwezi kusukuma gari kwenye matope ukiwa ndani ya gari hilo hilo.

Ni facts of life, you like it or not, CCM wametufikisha hapo tulipo, halafu kila wakiambiwa makosa yao wanakuwa wajuaji (Komba type, Mwigulu type, Lusinde type, Wassira type etc) huku hawana mbinu mpya, akili mpya wala nguvu mpya hata hiyo ari hakuna. Badala ya kuomba kukaa pembeni waone wenzao watarekebisha nini, hawataki na hapo ndo wananchi tunaona CCM ni ya wapumbavu wasiofundishika, sifa moja ya wajinga ni uwezo wao kufundishika kinyume na wapumbavu. Umeshindwa kitu for 50years huhitaji kuambiwa umeshindwa you can see it, you know it sasa kigugumizi cha kuwapisha na watanzania wengine kuhangaika na yanayokushinda for 50years kinatoka wapi??? kama sio ulimbukeni???

Asante kwa maoni yako mazuri.
Ila nidhamu ni kitu cha muhimu sana katika hiyo pocess
 
Umekua mmoja wa wale wanaomtukana Mwalimu Nyerere. Lakini naamini ungekua kati ya watu wa kumshukuru. Kwasababu Tanzania ya sasa hatuwezi fahamu nani anatoka kizazi cha watumwa,manamba ktk mashamba ya wazungu na wahindi ama makabila/koo ambayo hayajawahi dhalilishwa! Namlaumu Mwalimu Nyerere kuwapigania watu kama wewe. Huna shukrani kama kizazi cha watumwa!

Mwalimu gani mkuu? yule aliyetawala kimabavu kwa zaidi ya miaka 20? hadi nchi ilipomshinda akajidai anang'atuka?
 
Back
Top Bottom