Imegharimiwa na Ghalib Said Mohamed na ofisi yake, yaani GSM foundation, GSM- Msasani Mall, GSm pikipiki, GSM Magororo you name it. Na ndio hao waliogharamia lile zoezi lake la kupima afya mnazo mmoja lililoishia kuwa kituko, ndio waliolipia safari zake za marekani, Dubai nk na ndio waliogarimia safari yake ya hivi sasa ya South Afrika. Wanapata nini? kwanza wanapata mtu wa kushikilia iliyokuwa nafasi ya Ridhiwana katika kusimamia maslahi ya kifedhuli ya hii Yemen Group mfano, swala zima la Silent Ocean clearing agency iliyo wahi ku paralize port yetu, pamoja na makelele yote hawa mabwana wanaendelea na ile biashara kama ilivyokuwa hapo mwanzo. Kwa kupitia makonda tender zote za halmashauri zote za DSM kwa sasa ziko mikononi mwa hawa GSM. kwa wale mapumba wanaodai eti hakuna tatizo ni waganga njaa wasio na shule wanaoshindwa kujua madhara ya muingiliano wa serikali na matapeli hawa wakimataifa wanaosafisha pesa chafu. Kuna watu bado ndani ya CCM walioshikwa pabaya na huyu bwana kiasi kwamba wanalazimika kuwasimamia waendelee kuhujumu uchumi wetu. Kama hamuamini Usalama wa taifa watupe macho, lakini wawe watu wenye integrity wataona maana ukweli uko machoni kabisa. Kumbukeni wamepewa ardhi iliyokuwa na Tanu na kujenga just next to CCM lumumba. Hizo ofisi zao ni kama sebule ya viongozi wa chama, kunywa chai, kupewa posho n,k ni aibu kabisa na hii scope nawapa mwanahalisi na Jamhuri, maana ndio wanaume wa investigative reporting na hawana woga. Hawa ni kama bomba la ulaji la hao jamaa walio next to them.Ukimjua aliyegharamia halafu wewe itakusaidia nini? Kwa mfano akiamua kutumia sehemu ya mshahara wake kwa ajili ya kununua computer au mapambo kuna shida? Acheni hizo.